Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
Baraza la mitihani Tanzania limezuia zoezi la usajili wa mitihani mtandaoni kabla ya tarehe ya mwisho wa zoezi hilo ambayo ni tar 31/3/2017. Tangu jana wanafunzi wengi wamekuwa wakihangaika kujisajili bila mafanikio.