Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Jul 5, 2012 #1 [h=6][/h]
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Jul 5, 2012 #2 Wewe ukikaishwa kwenye jua ukiwa unafanya mtihani utapofaulu kweli!??????????
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 5, 2012 #3 Sasa hapo inakuwaje bojo likishuka, au ndiyo mabo ya kuruhusiwa ukafanyie nyumbani urudishe karatasi kesho.
Sasa hapo inakuwaje bojo likishuka, au ndiyo mabo ya kuruhusiwa ukafanyie nyumbani urudishe karatasi kesho.
K KAFWIMBI Member Joined Apr 2, 2012 Posts 59 Reaction score 10 Jul 5, 2012 #4 Nadhani staili hii mama Daichako ataipenda sana maana itamfanya kubaini haraka nani hajui kusoma au kuandika. Mama Daichako upoooooo hapo hebu jizolee maujiko hapo.
Nadhani staili hii mama Daichako ataipenda sana maana itamfanya kubaini haraka nani hajui kusoma au kuandika. Mama Daichako upoooooo hapo hebu jizolee maujiko hapo.