Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,904
Ndio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.LOFA MKUBWA WEWE UNAFANANISHA MIAKA YA ZAMANI NA LEO ?HUJUI TUNAENDA NA MAMBO YA DIGITAL
Point ni kusema nertwork iko bize kutokana na jam ya watu zaid ya milion huko kutaka kuingia katika site moja kwa pamoja,Hahaaaa vijana wa sasa bwana sisi matokeo yalikuwa yanatangazwa na tulikuwa tunasubiri matokeo wiki na siku kadhaa mpaka kuyapata sasa nyie masaa tu mnalalama nafikiri simu zenu zina uwezo mdogo na watu wengi sa hizi wako kwenye net so network lazima iwe busy ila poleni.
ENZI ZETU TULISUBIRI MATOKEO WIKI NZIMA ILA HATUKULALAMIKA
we pia ni mjinga coz unatetea ujinga acha ujinga JF waanze na wewe tuone huo u-great thinker wako uko wapiNdio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.
Nitumie yashule ya Mudio Islamic. Ninahitaji overall!Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.
Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
those daysENZI ZETU TULISUBIRI MATOKEO WIKI NZIMA ILA HATUKULALAMIKA
Umesema enzi zenu mkuu, hakukuwa na simu wala internet.ENZI ZETU TULISUBIRI MATOKEO WIKI NZIMA ILA HATUKULALAMIKA
GoodMahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Mkuu fuata maelekezo hapo kwenye threadJamani tufundisheni jinsi ya kuangalia kwa SMS mliosema