TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
mpaka siku ya Leo jumanne wasimamizi hawajalipwa pesa zao za semina.
Mpaka hivi sasa hata nusu ya posho ama robo wasimamizi hawajapata posho.
Hii ni hatari Kwa ufanisi Wa mitihan hii muhimu Kwa taifa letu. kama halmashauri haioni umuhimu katika hili sina hakika Kwa wasimamizi.
Tafadhalin sana chukuen hatua haraka kwani jambo hili linaweza kuleta matatizo.