NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

mkuu huna haja ya kuwa na wasiwasi ni kweli haya matokeo ya mwaka huu yamepikwa na NECTA,wameamua kupunguza zero kwa kubust matokeo,hatari sana,haiwezeka nusu ya darasa wakapata one ya saba ,haiwezekani,yajayo yanafurahisha

Kwa Hiyo NECTA wanapendelea shule za private?
 
Ni vile tuu mnasahau emphasis iliyopo kwa watoto kutoka kwa wazazi siku hizi. Na bado miaka ijayo wafaulu hasa private watazidi kuongezeka.

Tuition wanasoma toka wakiwa nursery school wakati hapo nyuma tuition ni kipindi cha mtihani tena kwa kukaririshwa tuu.

Wazazi tuu wenyewe wa sasa wengi wamefika angalau form 4 wakati zamani unakuta wazazi ambao hawajaenda shule ni wengi so emphasis ya elimu ilikuwa chini.

Mimi nikiwa nasoma walimu wa primary wengi walikuwa hata form 4 hawajafika nao walikuwa ni la saba wakati sasa hivi walimu wa nursery wapo hadi wa degree.

Sources za vitabu online zipo at disposal ya wanaojielewa wengi in a positive way.

Hapa nilipo tuu kuna vitu watoto wa leo hasa private wananitoa knockout inabidi wakinitembelea uncles au wa kwangu nawapiga bit wasiulize maswali mbele za watu

So there are many reasons kwa nn hizo 1 point7 ni rahisi kuwa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sote tunapenda watoto wetu wafanye vizuri.
Ni fahari kwa mzazi mtoto akifanya vizuri, inapendeza sana na ni jambo zuri mno, lakini inapotokea mtoto anafaulu too much kulinganisha na wenzie kuna haja ya kujiuliza kuwa wait a minute hii is it real au kuna kitu behind the scene.

Nimefuatilia matokeo ya shule mbalimbali ya mwaka huu lakini nimestushwa na matokeo ya shule moja, takribani nusu ya Wanafunzi wa hiyo shule wana one ya saba hii inawezekanaje?.

Wataalamu wa Elimu hebu tusaidieni, katika Utungaji wa mitihani inawezekanaje Karibia nusu ya Wanafunzi katika darasa wakapata maximum grade?

Katika hii Shule Wanafunzi wote wamepiga division one, lakini cha ajabu karibia nusu wamepiga one ya point saba, hili linawezekanaje?

Ukichanganya wale waliopiga one ya Pointi Saba, point nane na tisa ni asilimia 80 ya watahiniwa wote katika hiyo shule!!!

NECTA hebu tusaidie hili linawezekanaje?

Enzi za zamani ukisikia shule imetoa point SABA ni STORY ya kukumbukwa generation na generation. Lakini leo hii hii shule inatoa ONE za POINT SABA karibia nusu ya Watahiniwa wote hii imekaaje?

Kufaulu siyo tatizo lakini naamini hii siyo kawaida, Kunahitajika uchunguzi hapa!.
Hahahahah mkuu acha wafaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule siku hizi imerahisishwa sana, mara ya mwisho shule ngumu ya kukamuana damu kwenye mitihani ilikuwa 2012/2013,form six ya mwaka ule Tanzania one alikuwa na C ya physics, paper zilisimama kwelikweli, Sisi wa special schools tulipata D za physics kama hatuna akili nzuri

The same year matokeo ya form four yalitoka awamu ya kwanza, ikaonekana watu wamefeli sana, wakafanya ujanja, wakatoa matokeo ya awamu ya pili,wanajua wenyewe walienda kubadilisha nini

Since then elimu ikaanza kuwa ya kifala na mpaka sasa elimu inaonekana ni uhuni tu tena mkubwa sana, watoto wanafauli kirahisi sana recently japo upstairs hakuna kitu

Nimesoma nimekuonea huruma sana kwa hiki umeandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja hapo. Binafsi nimekuelewa kwamba one si tatizo lkn wengi wao kupata pointi 7 ni tatizo. Cha kushangaza ni kwamba humu jukwaani wengi haturuhusu akili zetu kufikiria jambo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesoma shule gani mkuu, Hiyo shule tangu ianzishwe imewahi shuka top 6?

Uwe unafuatilia statistics usikurupuke mkuu, Unafahamu hiyo shule wanafanya interview watu wangapi?

Fanya utafiti halafu ndio uje kuandika humu kwenye jukwaa

Chuki na mfumo dume unakusumbua sana kichwani, Wewe unapenda watoto wa kiume wafaulu zaidi, You are still living in 19th century, Hii ni karne ya 21 wewe unawaza mawazo ya Vasco da Gama

Huwezi linganisha mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya ambayo baadhi ya maeneo mkoloni alipeleka shule mapema
Kama ungesomea ualimu, mleta uzi ana hoja, mmjibu kwa hoja ya kimantiki badala ya kumkebehi. Kupata Div.1 almost wote kwa 7, wanafunzi hao siyo programmable, ambao wote wanaweza kutoa majibu yanayofanana. Lazima timu ya wataalam wafanye kazi ya kuibua ukweli. Maana yake wanafunzi hao wote tunawategemea waende university na wote watoke na First Class ya GPA ya aina moja pia. Kama siyo programmable, kwa maana kuwa kila mtu ana chip kichwani inayofanya kazi sawa na mwingine, hili halikukaa sawa. Wanafunzi hawa, kwa taaluma yangu ya kiualimu, wanaweza kupata Division One yenye variation, na siyo NUSU wote wawe na distinction. Maana yake ni kusema wasahihishaji hawakufanya kazi sawasawa!

Mujibu kwa hoja acheni ujinga wa kitanzania ambao kila kitu kimegeuzwa DHARAU!

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Nitajaribu kukujibu kwa ufupi kujaribu kuelezea how can that happen. Japokua kiukweli, St Francis imevunja rekodi kwa karibu nusu ya wanafunzi wao kupata division one za point saba. Baadhi ya sababu ni hizi hapa;
1.Hii shule huwa wanapata cream kabisa ya the best students kutoka kwenye primary schools, how? Jibu ni Interview yao ni highly competitive,watu wengi wanapenda kusomesha watoto wao hapo,so wanachukua fomu watu wengi sana (wastani wa zaidi ya 1,200); Wanapiga interview,halafu wanachaguliwa labda wanafunzi 70-95; Yaani less than 10% ya wote waliofanya interview (na hakuna figisu,kuchaguliwa ni merit based).
2.St Francis pia wamewekeza sana kwa walimu... Wana walimu wazuri sana ambao pia process yao ya kuajiriwa ilikua ni merit based na sio kwa kujuana,na wanawalipa vizuri pia walimu,so they are well motivated.
3.Ari ya ushindani kati ya wanafunzi wenyewe shuleni;Kiukweli pale St Francis kunakua na ushindani mkali sana wa kuchuana hata wenyewe kwa wenyewe wanafunzi;kwa hiyo wanakua na bidii sana ya kujituma.
4.St Francis wanafunzi pale wanapigwa shule hatari sana.... Yaani unafundishwa,unaelekezwa kila kitu,unapewa material yote,unafundishwa hadi jinsi ya kujibu mitihani..... Hawa watoto wanafundishwa hadi jinsi ya kuandika aisee,hadi miandiko yao inafanana. Una kila kitu,ukihitaji msaada wa mwalimu upo any time,ni wewe tuu; mtoto akiingia pale kuanzia form one anaandaliwa kupiga division 1 ya point 7.
5.Hii shule pia wana wastani wa kila somo ambao mwanafunzi inabidi aufikie kwa kila somo ili aweze kuvuka kwenda kidato cha mbele... Kwa hiyo wanachuja sana wanafunzi wao kuanzia form one ukishindwa kufikia wastani,unapigwa chini,serious business only,hakuna utani.
Missile of the Nation
Nasikia hakuna mchujo pale, ila wanachukua cream haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam ndugu zangu, nawasalimu.

Baada ya kimbunga cha ufaulu kuitikisa shule ya St. Francis ya Mbeya kwa makumi ya wanafunzi wake kufaulu kwa kiwango cha juu sana cha alama 7 nimeamua kufanya tafiti zangu binafsi ndani ya shule hiyo.

Kwa wale tuliopita Mzumbe sekondari kwa kweli tutamkumbuka babu yetu maarafu sana kwa wale tunaomfahamu ( Sitataja jina) ambaye alikuwa mtunzi na mhariri mkuu wa "Pepa ya Physics" enzi hizo. Huyu alituunganisha na mtaalamu mhariri wa "Pepa ya Chemistry" pale Ilboru. Miaka ya kuanzia 2008 kurudi nyuma Mzumbe ilikuwa usipime. Naomba nikiri kuwa Alikuwa anatusaidia babu! Tuling'ara kweli kweli.

Baada ya hapo nasikia wataalamu wa Feza walichukua usukani wa uhariri kuanzia mwaka 2009. Miaka michache iliyopita wakarudi wahariri wa Mzumbe, Boys, Marian na Kibaha.

Hatimaye nasikia dodo limewaangukia walimu wa St. Francis na wamekuwa wahariri wa "'Pepa" mbalimbali ndani us NECTA. Je hawajavujisha? Zaidi ya asilimia 70 ya watoto wao wameibuka na single points! 'Siyo kawaida. Babu alitutonya ila tulikuwa watu maalum kweli. Naamini hata mzee wa Ilboru naye alikuwa hivyo hivyo. Hawa wa St. Francis wamepagawa? 'Any way congrats kwao.
But St Francis wameanza kutukimbiza kitambo, late 90's na 2000+ yote hawajawahi toka kwenye ramani.

Hata hiyo miaka ya 98 unayoisemea bado wao walikuwa wanakimbiza sema kwenye makundi ya wanafunzi wachache.

Kikubwa nionacho, Elimu yetu imerahisishwa na facilities za mwanafunzi kusoma zimeboreshwa.

Enzi hizo unaenda Tosa Maganga kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa somo la hesabu toka primary, lakini ukifika pale unakuta shule ina mwalimu mmoja wa hesabu. Unaenda Kibaha ukiwa vizur science lakini unakuta shule ina uhaba wa walimu wa science. laboratories hazieleweki kihivyo.

So ili uweze kupata hiyo 1 ya 7, ulitakiwa uwe kichaa kweli wa shule, utafute notes, usome vitabu, upige maswali mengi mwenyewe, uwafuatilie walimu hadi maofisini na uwe na uwezo wa kuchuja matango pori ya mchikichini mwemyewe.

Ilikuwa ngumu kweli kweli, leo mtoto analishwa kila kitu shuleni, kila kitu nyumbani, past exams za kumwaga, lab hadi akiwa likizo ana nafasi ya kuzipata na kufanya test zake.

Anashindwaje kufaulu vizur hata kama ni kilaza au wa kawaida tu?

So mazingira ya sasa yanawawezesha zaidi watoto wetu kuweza kufaulu ndo maana kuna haja ya mfumo wetu wa elimu ukapitiwa upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanafunzi hawa wangekuwa wazuri kiasi mnachituaminisha, tusingewaona baadaye kwenye kazi mtaani ni wa ajabu ajabu. Elimu haina breki, ukianza vizuri tunategemea utafika utafika mwisho na integrity hiyo hiyo. Kweli, hiyo shule inachagua geniuses in Country!!!!
Nasikia hakuna mchujo pale, ila wanachukua cream haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanafunzi hawa wangekuwa wazuri kiasi mnachituaminisha, tusingewaona baadaye kwenye kazi mtaani ni wa ajabu ajabu. Elimu haina breki, ukianza vizuri tunategemea utafika utafika mwisho na integrity hiyo hiyo. Kweli, hiyo shule inachagua geniuses in Country!!!!

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
Shida ni.kuwa sahivi wanazalishwa wengi mno mpaka kuona wa tofauti sana inakuwa shida.
Enzi hizo TO unamkuta ni miongoni mwa Wanafunzi 30< wenye 1.7 tanzania nzima.

Halikuwa jambo la mchezo ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani uajabu uko wapi sasa? Kwa maana hiyo unaamini ujinga kujiko akili, zamani watu walikuwa hawajui nini maana ya elimu wala hakukuwa na mwamko tofauti na sasa ivi wazazi tunawekeza kwenye elimu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je na assesment zao kuanzia form 1 ni div 1 ya point 7 ?
Angalia shule zilizoongoza sasa ziko wapi.

Ni swala la muda tu.

Kama ni best school kihivyo waje kwenye TV live tuwahoji na necta wawepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sote tunapenda watoto wetu wafanye vizuri.
Ni fahari kwa mzazi mtoto akifanya vizuri, inapendeza sana na ni jambo zuri mno, lakini inapotokea mtoto anafaulu too much kulinganisha na wenzie kuna haja ya kujiuliza kuwa wait a minute hii is it real au kuna kitu behind the scene.

Nimefuatilia matokeo ya shule mbalimbali ya mwaka huu lakini nimestushwa na matokeo ya shule moja, takribani nusu ya Wanafunzi wa hiyo shule wana one ya saba hii inawezekanaje?.

Wataalamu wa Elimu hebu tusaidieni, katika Utungaji wa mitihani inawezekanaje Karibia nusu ya Wanafunzi katika darasa wakapata maximum grade?

Katika hii Shule Wanafunzi wote wamepiga division one, lakini cha ajabu karibia nusu wamepiga one ya point saba, hili linawezekanaje?

Ukichanganya wale waliopiga one ya Pointi Saba, point nane na tisa ni asilimia 80 ya watahiniwa wote katika hiyo shule!!!

NECTA hebu tusaidie hili linawezekanaje?

Enzi za zamani ukisikia shule imetoa point SABA ni STORY ya kukumbukwa generation na generation. Lakini leo hii hii shule inatoa ONE za POINT SABA karibia nusu ya Watahiniwa wote hii imekaaje?

Kufaulu siyo tatizo lakini naamini hii siyo kawaida, Kunahitajika uchunguzi hapa!.
Mimi naona tatizo ambalo lipo na ni kubwa kuliko unalotaka tujadili ni shule ambazo hawana kabsa division 1 ,division 2 iko moja 3 zinahesabika embu tizama hayo matokeo yaliko hapo chini..
IMG-20190124-WA0021.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom