youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
-
- #61
Humu jf kweli kuna akili ndogo nyingi sana, najiuliza kweli kuna GT wa ukweli humu? Hapana haiwezekani watu msione tatizo la kauri ya bulembo kiongozi wa chama tawala chenye dola na kila kitu kiseme hatuwezi kuwaruhusu upinzani kwenda ikulu, wakati kauri kama hizi yanapotokea machafuko ndo hutumika kama ushahidi kule ICC
Pole sana!!Unapoamua kumjibu mtu hebu jaribu kuelewa kwanza alichotuma. Hebu soma original post ya uliyemjibu linganisha na jibu lako! Kweli hii BRN!
na watanzania tupo tayari kwa lolote.
Magufuli asilaumu watu na kutulinganisha na Libya ya Saddam ................. CCM ndiyo wenye uwezo wa kuleta machafuko au kuimarisha amani iliyopo kwa kukabidhi madaraka kama watashindwa.
Kwa mchezo huu wa NEC sitashangaa kauri kama hizi za Bulembo zikiongezeka kila siku kadri dalili zitakavyozidi kuwa wazi kuhusu mshindi!! Mark my words!!
Tunakusanya ushahidi, tukutane the hague.
Kama upo Dar nenda brella utakuta imesajiliwa lini na kwa matumizi ya chama kipi cha siasa. Hata ukigoogle mbona unaikuta tu. Hii yaenu mmeisajili Chato au wapi?
na watanzania tupo tayari kwa lolote.
Humu jf kweli kuna akili ndogo nyingi sana, najiuliza kweli kuna GT wa ukweli humu? Hapana haiwezekani watu msione tatizo la kauri ya bulembo kiongozi wa chama tawala chenye dola na kila kitu kiseme hatuwezi kuwaruhusu upinzani kwenda ikulu, wakati kauri kama hizi yanapotokea machafuko ndo hutumika kama ushahidi kule ICC
Bulembo ni zaidi ya kitume cha uchaguzi
Wapinzani nao wakisema tutaingia msituni CCM wasipoachia Ikulu? Lubuva atasema ni lugha ya kutumika na yeyote!
Acha kuwasemea watz kwa mambo ya kuhari amani yetu kama umeshindwa hoja nenda Somalia au Uarabuni ukamalizie hasira zako huko tuachie TZ yetu!
na ndugu yenu anaposema haachii ikulu kwa namna yoyote aende kumalizia hasira wapi burundi au libya?
Hakuna kosa kwenye statement ya Bulembo kama unaitafasiri positively ila Kama unaitafisiri kinyume chake ndo utaona inamatatizo ndo maana NEC hata mimi sioni tatizo kwenye statement hiyo!!
Acha kuwasemea watz kwa mambo ya kuhari amani yetu kama umeshindwa hoja nenda Somalia au Uarabuni ukamalizie hasira zako huko tuachie TZ yetu!