Taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi NEC inasema, Halmashauri zote ambazo wagombea wa CHADEMA walichukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya ubunge na udiwani hawakurejesha fomu hizo kwa ajili ya uteuzi.
Hongera viongozi wa Chadema Kanda na Kata mbalimbali kwa kuheshimu maamuzi ya Kamati ndogo ya Kamati Kuu ya chama iliyoamua kujitoa kwenye chaguzi zote zitakazo andaliwa na Tume ya uchaguzi ya CCM.
Hii inaonyesha kuwa kwa sasa ndani ya chama mamluki wanazidi kupungua na mshikamano unaongezeka zaidi.