NEC yakiri hakuna fomu yoyote ya CHADEMA iliyorudishwa kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge na Udiwani

Heko ziwaendee hao akina Mkono kwa kugoma kutoa hela. Wakati unakunywa chai na Mkono mwambie washabiki wa cdm tunampongeza kwa kutokutoa hela za cdm kushiriki uchaguzi, na tunashukuru kwa hela zake za siku zilizopita kuwezesha cdm kushiriki chaguzi.
Unaweweseka! Jitangazieni kupita bila kupingwa au ushindi wa tsunami 100%.Ila mjitahidi kubalansi namba vizuri.
 
Kwani Tatizo hapo nini
Ukisusa wengine wanakula
Rejea ya maalim sef
Mwisho wasiku kaishia Kupiga mipicha ukumbini kama zuzu
Lol mrembo una kauli karahaaa

Hizi itikadi za siasa taka, zikiendelea kizazi hiki kitakosa thawabu kwa Mwenyenzi Mungu kwa kuwatupia wazee maneno kuntu pasipo sababu za msingi, kisa ushabiki wa kiitikadi.

Vijana badilikeni kwa kupenda kujisomea ili Mpate kuchangia busara na hekima.
 
Hatua hii ni njema kabisa, huu ni uhamuzi wa busara,ingawa hatua hii ilicheleweshwa na kamati kuu ya CDM, ninayo imani wenye mapenzi na chama ndiyo tutakaobaki hadi hatua ya mwisho.

Kweli huu uamuzi utawabakiza wanachama damudamu na kindakindaki ingawa wapo watakaokosa masilahi waliyozoea kuyapata kupitia chaguzi batili
 
Back
Top Bottom