Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Hilo kaburi ukikifukua harmful yake ni kutoka mara mpaka mtwara
Mihemko tu na kura zenu za mfukoni!
Hilo kaburi ukikifukua harmful yake ni kutoka mara mpaka mtwara
Wakuu, nimeingia website ya NEC ili nichukue takwimu za matokeo ya kura za urais, ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata, lakini hakuna kitu. Kuna kijitabu hiki hapa lakini nacho hakina kitu...
View attachment 439385
Mwenye data hizo naomba plz...
Hilo kaburi ukikifukua harmful yake ni kutoka mara mpaka mtwara
Wewe huna sababu ya kwenda mbali,chukua kura milioni nane za james ponda mali zifanye kuwa ni za mamvi na milioni sita ni za ponda mali...lubuva alifanya vice versa
Maamuzi magumu ni kufanya kazi kwa bidii uendelee kulisha familia yako!
Hatukuumbwa ili tule. Wala hatuishi ili tule. Mahitaji ya binadamu si chakula pekee; uhuru (freedom) ni hitaji muhimu pia.
Maamuzi magumu ni kufanya kazi kwa bidii uendelee kulisha familia yako!
Kama unafikiri Tanzania hauna Uhuru wa kujieleza jaribu kuishi Burundi, Congo, Somalia, Sudan, Rwanda na Uganda utanielewa tu! Tatizo mtu ukishiba sembe unasahau kama kuna kesho!
Kama unafikiri Tanzania hauna Uhuru wa kujieleza jaribu kuishi Burundi, Congo, Somalia, Sudan, Rwanda na Uganda utanielewa tu! Tatizo mtu ukishiba sembe unasahau kama kuna kesho!
Mbona mnatumia nguvu nyingi kujibu hoja nyepesi kama hii?, kwani akijua atabadilisha nini Wakati maghufuli kashakuwa rais?, mnaogopa nini ikiwa matokeo yakijulikana?
Endelea kufanya kazi sasa unakalia kuwaza uchaguzi mkuu unafikiri matokeo yatabadilika!Kazi ni wajibu wa kila mtu,kwani kuna aliyewahi kuja kwako kukuomba msaada wa kulisha familia yake?Wale wanaCCM wa Dodoma waliokula viwavijeshi hawafanyi kazi?
Mkuu hata 2010 Dr Mihogo alichezewa mchezo na yule jaji marehema aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, jaji Makame, msiba wake ulikuwa Muheza, Tanga. Kwa kulipa fadhila mama wa kwanza wa awamu ile alikaa msibani siku mbili.Wewe huna sababu ya kwenda mbali,chukua kura milioni nane za james ponda mali zifanye kuwa ni za mamvi na milioni sita ni za ponda mali...lubuva alifanya vice versa
Cku zote hizo, leo tuko 2017 karibia unazitaka za nini?...unataka kutukumbusha kipya gni...au xitakuwa zimebadilika?
Endelea kufanya kazi sasa unakalia kuwaza uchaguzi mkuu unafikiri matokeo yatabadilika!