Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kwani si kuna kua na mawakala wa kila chama katika kila kituo!!?
Mnaanza kutafuta sababu ya kulalamika sasa!
Kituoni ubaki kufanya nini? ebo!

Uchaguzi huru na haki ni kwa mpiga kura kuruhusiwa kukaa mita 100 toka eneo la kitu cha kupigia haya yanayosemwa ni kinyume.Natamani NEC watamke mapema ili sauti zetu zisikike hadi kwa hao wanatupatia ufadhiri wa fedha za uchaguzi japo siwapendi pia

Pumbafu!!!! unakwenda nyumbani kufanya nini haki yako iko sehemu ya kupigia kura
subiri kura zisichakachuliwe ebo!
siku hiyo sitoki kituo cha kupigia kura
wanataka kuiba sio!!!!
Kwani si kuna kua na mawakala wa kila chama katika kila kituo!!?
Mnaanza kutafuta sababu ya kulalamika sasa!
Kituoni ubaki kufanya nini? ebo!
yaelekea ccm na nec wamegundua mbinu mpya za medani za kuchakachua kura kiulaini kwani nec wataiagiza polisi kufukuza watu watakaokuwa wanataka kubaki vituoni ili kulinda kura kwa madai ya kuwa hiyo siyo kazi yao.
Nec yadai kubaki vituoni kunaweza kusababisha fujo lakini hawana tatizo na mashushu kuwepo vituoniiiiiiiiiiiiiii. Hii ni changamoto mpya kwani kenya mbona wapiga kura hubaki vituoni ili kutenda haki??????????????????????
Nec ina maelezo gani juu ya watumishi wa idara ya usalama wa taifa ambao sasa hivi wanatawanya kona za nchi ili kuchakachua kura zetu aiseeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Hapa nina wasiwasi ya kuwa tone la damu laweza kudondokaaaaaaaaaaaa.
Chadema yapaswa kuwasiliana na nec haraka iwezekanavyo ili kuweka utaratibu wa uwazi wa wapiga kura kushuhudia uhesabuji wa hata kwa kuwa nje ya kituo chao cha kupiga kura ili kumulika mashushu wabebao mikoba myeusi iliyorundikana mapesaaaaaaaa
bila ya kufanikisha hilo basi ccm atatumaliza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kama mbinu hizi chadema hazitazitafutia muarobaini mapema basi kilio na kusaga meno cha wasubiriiiiiiiiiiiiiiiiii
siku hiyo sitoki kituo cha kupigia kura
wanataka kuiba sio!!!!
Hapana ni mita 200Uchaguzi huru na haki ni kwa mpiga kura kuruhusiwa kukaa mita 100 toka eneo la kitu cha kupigia haya yanayosemwa ni kinyume.Natamani NEC watamke mapema ili sauti zetu zisikike hadi kwa hao wanatupatia ufadhiri wa fedha za uchaguzi japo siwapendi pia