NEC-ITV wameanza kumkampenia Firikunjombe

Bungabongo

Member
Aug 16, 2014
26
10
Muda mfupi uliopita ITV wamerusha kipindi kinachoonekana kama kampeni zimeshaanza. Mbunge anaemaliza muda wake Deo Firikunjombe, ameanza kampeni kwa kuwahoji watu hasa wanaomunga mkono tu bila kuhoji upande wa pili. Tune watoe kauli kama hiyo ni sahihi.
 
Firikunjombe=Filikunjombe

Hata mimi nimeona, nadhani jamaa kalipia airtime ITV na ITV wanafanya biashara, ila jamaa anaonekana kajipanga sana huko ludewa
 
Firikunjombe yuko makini kuliko wabunge wote wa magamba ana uwezo mkubwa na maono yuko vizuri atapita bila kupingwa huyo.
 
nyie hamuelewi nini hapo? filikunjombe alishirikiana na Zitto kumtoa madarakani adui yake namba moja mzee mengi, Professor Sospeter Muhongo. Hapo mengi analipa fadhila.

Firikunjombe=Filikunjombe

Hata mimi nimeona, nadhani jamaa kalipia airtime ITV na ITV wanafanya biashara, ila jamaa anaonekana kajipanga sana huko ludewa

Muda mfupi uliopita ITV wamerusha kipindi kinachoonekana kama kampeni zimeshaanza. Mbunge anaemaliza muda wake Deo Firikunjombe, ameanza kampeni kwa kuwahoji watu hasa wanaomunga mkono tu bila kuhoji upande wa pili. Tune watoe kauli kama hiyo ni sahihi.

Yaan hawa magamba ni shida kwel

Firikunjombe yuko makini kuliko wabunge wote wa magamba ana uwezo mkubwa na maono yuko vizuri atapita bila kupingwa huyo.

Kwamtazamo
 
Halafu nye chadomo kitu kifanywe na ccm mapofu yanawatoka sna kikifanywa na nyinyi ni halali..hii ni dalili ya umbea na majungu
 
hv mtu akimuwekea pingamizi kwa ushahidi huo inakuaje?tena avizie wkt amesharudisha fomu nec
 
Kwa huyo jamaa mimi naona hata asipopiga kapeni ni mbuge wa pekee sana tofauti na wachumia gumbo kama Kibajaji wa Mtera Dodoma
 
Tofaitisha huyo jamaa na wabunge wengine sidhani kama walikuwa wanamnadi au kumpigia kampeni ILA wabunge wengine wanatakiwa kujifunza kutoka kwake namna anavyoshirikiana na wananchi wake kutekeleza miradi ya maendeleo jimboni kwao sio mbwembwe na kuisha kukaa dar mpaka uchaguzi mwingine ufike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom