Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Ndugu Magufuli akiwa Tabora aliahidi km 10 za barabara kwa madai kwamba anayo tayari bajeti ya kutengenezea Barabara hizo, Leo akiwa Kigoma pia ameahidi km 10 za barabara na kwamba bajeti yake ipo tayari na kutaja kuwa no kiasi cha sh 800 bilioni. Tunataka Maelezo kutoka NEC, kwamba Magufuli anaahidi kama waziri Wa miundombinu au kama mgombea urais? Fairness IPO wapi ktk hili? Kama NEC haitatoa Maelezo, tusilaumiane