Mtetezi wangu yuhai
Member
- Sep 4, 2012
- 26
- 5
Kwa hesabu za haraka haraka NEC imekua busy mwaka hadi mwaka kwa kuandaa chaguzi ndogo ndogo kila kukicha za udiwani au wabunge wanaojiuzulu nawasikilizia zao kwa sababu wajuao wao.
Ni wakati NEC kulitizama hili na kuja na jibu mbadala la kuokoa kiasi kikubwa kinachotumika kuitisha uchaguzi Mwingine either kwa kutengeneza pendekezo la kisheria litakaloipa nguvu Chama cha mbunge au diwani husika kumweka mbadala wa aliyejiuzulu kutoka Chama husika ili kuokoa kiasi cha pesa kinachopotea ili kufanya kazi nyingine za maendeleo. Ni jasho LA wananchi wanaolilia afya Bora, elimu, miundombinu ya kilimo Bora, umeme, maji , .
Mwenyekiti wa NEC litizame hili Mara mbilimbili kwa macho ya kumsaidia mtanzania anayelia maisha magumu.

Last edited: