NEC, hili ni bao la mkono?

Baada ya kutoa idadi ya vituo sasa tupatieni majina ya vituo hivyo, Tume tumieni website yenu vizuru kuweka taarifa kama hizi, au hamna utaalamu?
 
Sijui kama nimeelewa ,nilivyofahamu kama kituo kimeandikisha watu mia saba inamaana hapo kutakuwa na vituo viwili kama watu 1001 hapo kutakuwa na vituo vitatu ,ya kwamba kila kituo hakitazidi au kila sanduku halitaingia kura zaidi ya mia tano ,niliona kama kaufafanuzi kakisema 450 mpaka 500 na watakapozidi wapiga kura wagaiwe katika makundi yalio sawa ,,,!

,Suali langu kuu ambalo ndio nionapo kiini cha wizi utakapoanzia ni makundi hayo yatagaiwa lini ? Na nani atakwenda kituo gani au huo ugavi utafanyika lini ? Unaweza ukaenda huku ukaambiwa nenda kule ukienda kule wanakwambia humu humo kaangalie kule. Lubuma anawaweka wapiga kura katika kuhangaika.
 
Uchambuzi murua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…