NEC, hili ni bao la mkono?


Ndiyo maana unajiita "spea mkononi" utasubiri sana. Maana ya spea mkononi ni kwamba wewe ni mbovu kila mara upo taabani na unahitaji huduma mara kwa mara. Ndiyo maana hata mada mnaziunganisha kulingana na ninyi mnavyotaka siyo mtoa hoja anataka nini. Anyway, utajulikanaje na boss wako kama unafanya kazi? Mtumikie ------ ndg yangu upate kushibisha tumbo lako. Najua kazi yako imebakisha siku chache sana.
 
Mh. Judge Lubuva litolee maelezo hili vinginevyo litakuharibia sifa na kuletaa maachafuko yasiyo ya lazima nchini kwani tayari watu wamekuwa na hofu ya kuandaliwa kura zaidi ya milioni tano kutoka vituo hewa. Kuwa makini usimwage damu ya mtanzania yeyote kwa sababu ya siasa
 
Ndugu,

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani- amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.

-

1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na

-

2. Namna SAHIHI- ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.

i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450

ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450

ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.

-

Itakuwa hivi.

Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-

450+450+450 = 1300

1900-1300 = 550

550 gawanya kwa 2 = 275

-

KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900

PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)

-

1. KITUO CHA KWANZA WATU 450

2. KITUO CHA PILI WATU---------- 450

3. KITUO CHA TATU WATU------- 450

4. KITUO CHA NNE WATU--------- 275

5. KITUO CHA TANO WATU------ 275

JUMLA------------------------------------------- 1900

-

ZINGATIA

Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.


--
HAKIKI KADI YA MPIGA KURA
http://voters.nec.go.tz:8081/vote
SMS
+255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
Focus Radio Tz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
YOUTUBE / TV
http://bitly.com/1Leujup
VIPINDI VYA REDIO
TUME_YA_TAIFA_YA_UCHAGUZI - Music - HulkShare
FACEBOOK
http://bitly.com/1zIiIkq
TWITTER
http://bit.ly/1678Vq2
BLOG
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TANZANIA -
WEBSITE
Mwanzo ::Tume ya Taifa ya Uchaguzi
 

Watoto wako na watoto wengine wa nchi hii ndiyo wanaopiganiwa ili haki itendeke apatikane kiongozi bora kwa maisha yao ya baadaye,kwa hiyo huna haja ya kukumbia baki tupambane haki ipatikane kwa future ya watoto wetu.
 


Wewe nadhani ni mwalimu kama ulivyosaini. Ukiambiwa gari inaweza kubeba abiria watano kwa hiyo ni lazima kila wakati gari hiyo iwe na abiria watano?
 
Kinachowaumiza watu hapa ni uvivu wa kufikiri, angalau kidogo tu. Lubuva hakusema kila kituo kitahudumia watu 450 bali kila kituo kitakuwa na uwezo wa kuhudimia watu 450 na wasiozidi 450.
 
labda ukamcharaze mamako sio wapiga kura. nyumbu wewe
 

sawa! umeeleweka! mpe Hi Lubuva.
 
Kwa ufafanuzi huu nimeelewa sasa, nilikua najiuliza sana tuhuma kama hizi za kujibiwa haraka na tume kwanini hua zinacheleweshwa kujibiwa, Tume inapaswa kuwapongeza sana Ukawa, kwani ni sawa na darasani mwanafunzi anayependa sana kumuuliza maswali mwalimu wake hapaswi kuchukiwa zaidi huyo mwanafunzi atakua anafanya vizuri zaidi ingawa baadhi ya wanafunzi watakua wanamchukia huyo mwanafunzi kwa kujihisi kua wao wanaelewa haraka sana kisa tu eti labda mwalimu ni mjomba wake au kaka yake... Hivyo ni vizuri NEC ikawapongeza chadema/ukawa kwasababu kupitia malalamiko yao wananchi kupitia tume ya uchaguzi tumepata kujua mambo mengi ya msingi, Embu imagine vyama vyote vingekua kimya kama ccm kwa kuona kila kitu kiko sawa kuhusu tume tungekua tunaelewa nini kuhusu hizo tuhuma zote ambazo ukawa wanajitahidi kupambana na NEC..?
HONGERA SANA UKAWA MSICHOKE KUPAMBANIA VITU AMBAVYO BADO HAVIKO WAZI KUHUSU UCHAGUZI.
 
i dont always argue with an idiot because he/she will beat me their experience level of ignorance Bukamabatoko
 
Last edited by a moderator:

kaka umewagusa wooote wana "chichiem"
 
Jamani, 450 ni maximum namba.. Na si lazima kwamba kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450. Kwa mfano, pale ulipojiandikisha, kama mpo 600, then mtagawanywa kwenye vituo viwali vitakavyokuwa next to each other na kila kimoja kitakuwa na wapiga kura 300...

By the way, nina swali kwa NEC... WANAPOSEMA MATOKEO YATATANGAZWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA NA WAKATI HUO HUO WAMESEMA TUKIMALIZA KUPIGA KURA TWENDE NYUMBA, JE HAYO MATANGAZO WATAMSOMEA NANI..??
 
Katibu mwenezi wa ccm, Nape, alisemaje?
 
Punguza wasi wasi hakuna vituo hewa hapo! Kila kituo kinatakiwa kutozidi wapiga Kura 450 na sio lazima wawe 450 na pia kituo kimoja kinaweza kugaiwa mara mbili ili kupunguza msongamano!
Utakuwa umekula maharage sijui ya wapi.

Tume imesema kituo kitakuwa na wapiga kura kati ya 450 hadi 500

Hii ina maana kiwango cha chini ni 450

Na kiwango cha juu ni wapiga kura 500

Kwa vituo zaidi ya elfu sitini wapiga kura watakuwa zaidi ya 29,000,000!
 
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba, nitaiponya nchi yao. Mungu ndio mlinzi wa nchi hii, tumemuomba Mungu na YEYE amesikia, Hakuna kura itakayoibiwa, hakuna damu itakayomwagika, maadui wote Mungu atawashughulikia mmoja baada ya mwingine hakuna atakayesalia. Malaika wa Vita wamajaa kila kona ya nchi, kuwaangamiza waovu wote wanaotaka kuleta vitu. Kwa kuwa Mungu yupo hai, damu ya mwanawe YESU Kristo, inanena mema juu ya nchi. Mungu wetu ni Mungu wa vita, atawashughulikia wote,mmoja baada ya mwingine, maadui wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…