Wasitudanganye hawa,kwanza hata kama haupo kwenye daftari la kupiga kura eti ukiwa na kadi tu inatosha kupiga kura,huu ni uwizi maana kuna watu wana kadi zaidi ya moja na pia tume itakuwa haina idadi kamili ya wapiga kura wake.Tutalinda kura mpaka tume wajue kuwa mwaka huu wajaribu watajua kuwa Watanzania wamepevuka sasaTume ya taifa ya uchaguzi(nec),imesema hakuna kura zitakazoibiwa hivyo wanasiasa waache kuwatisha wananchi kuwa wataibiwa kura.kauli hiyo ilitolewa Dsm Jana na mwenyekiti wa NEC,jaji mstaafu Damian lubuva wakati wa mkutano wa Tume za uchaguzi Africa mashariki
source:Jambo Leo
Haki ni muhimu sanaWasitudanganye hawa,kwanza hata kama haupo kwenye daftari la kupiga kura eti ukiwa na kadi tu inatosha kupiga kura,huu ni uwizi maana kuna watu wana kadi zaidi ya moja na pia tume itakuwa haina idadi kamili ya wapiga kura wake.Tutalinda kura mpaka tume wajue kuwa mwaka huu wajaribu watajua kuwa Watanzania wamepevuka sasa
Mwaka huu matokeo yote yatabandikwa vituoni. Tutajumlisha wenyewe
Tume ya taifa ya uchaguzi(nec),imesema hakuna kura zitakazoibiwa hivyo wanasiasa waache kuwatisha wananchi kuwa wataibiwa kura.kauli hiyo ilitolewa Dsm Jana na mwenyekiti wa NEC,jaji mstaafu Damian lubuva wakati wa mkutano wa Tume za uchaguzi Africa mashariki
source:Jambo Leo
Mwaka huu matokeo yote yatabandikwa vituoni. Tutajumlisha wenyewe