Ndumo ya Jerry Muro imejaa ngunja

Mtoa Uzi nashukuru sana kunieleza maana ya MANENO niliyoyauliza , Samahani sana kwa kukusumbua, Ningeomba unisaidie na HAYA MANENO maana zake ambayo niliyasahau Nayo ni. NDUMO na hili neno NGUNJA
 
Tumekusikia !unajambo lingine la kutuhabarisha?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kumbe wewe ndo Jerry. Good!
 
Acha wivu, binafsi pamoja na yote huo ndo ukweli, sisi waarusha hatuhitaji hayo anajifanya mema, that's the point
 
hahaaa... Murooooo karusha jiwe gizani huku lazima hoja ask ziwasumbue, Jery angechukua nafasi w ya Pole pole wallah cdm mngekaa asubuhi na mapemw kabisa
 
Mtoa Uzi nashukuru sana kunieleza maana ya MANENO niliyoyauliza , Samahani sana kwa kukusumbua, Ningeomba unisaidie na HAYA MANENO maana zake ambayo niliyasahau Nayo ni. NDUMO na hili neno NGUNJA
Ndumo=kelele/wito
Ngunja=udongo au vumbi jekundu
 
hahaaa... Murooooo karusha jiwe gizani huku lazima hoja ask ziwasumbue, Jery angechukua nafasi w ya Pole pole wallah cdm mngekaa asubuhi na mapemw kabisa
Hawa wote ni ziro brain. Kumbuka mimi ni mwanaccm ambaye nimechaguliwa tena kuendelea na Shughuli za kupigana chama ambacho sijui 2020 tutaendaje kwa wananchi kuwaomba kura.Tukumbuke wananchi waliotuchagulia Kiongozi hawakuzoea kauli za jeuri ktk nchi yao leo hii kauli za jeuri sio ngeni tena kwa wananchi
 
Muro ni mwehu tu ..... ukimjua vizur hawez kukuumiza kichwa
 
Anafanya internship ya uenezi kuwania kiti cha polepole kwakua amepwaya saana
 
Huyo kijana analipwa nadhani kwa kazi hiyo ambayo inamuunganisha kwenye uadui na kundi kubwa la watu pasi yeye kujua
Kosa lenu kubwa kudhania watu wengi wanawaza kama ninyi na wanapenda vitu mnavyopenda au kuvichukia vitu mnavyo vichukia. Muro anategeneza adui wengi na pia wapo wengi zaidi wanaompenda kwa mabandiko yake. Hii ni dunia huru.
 
Muro el Burro
Burro ni punda
Anatumika kubeba mizigo ya wengine
 
Jerry Muro, kijana wa Lumumba, ni moja ya vijana wengi wa CCM wanaochumia tumbo kwa siasa chafu. Sasa nadhani ni wakati mzuri kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria asaidie upelelezi juu ya watu wanaouawa na watu wasiojulikana. Isije ikawa naye ni mmoja wa wasiojulikana maana kipindi cha nyuma aliwahi kukamatwa na pingu wakati yeye sio askari. Pingu ile alikuwa kifanyia uhalifu gani?
 
Muro hajui kujenga hoja zaidi naona anataka uongozi wa kuteuliwa..hata akiludi yanga simuamini..kumbe ni akili mdogo kama haradani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…