if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Usitoke nduki bana.,hebu baerezee baraza hapo alipo hapo,hivyo alivyo hivyo hapo ni ameng'atwa na nyuki ama anepokea kichapo???
By the way username yako yanikumbusha artist nimpendae Tracy Chapman na hilo songi lake la 'if not now',ushawahi isikiliza?
Ooooooooooooh!!!it is a weekend...... ............ ... . ....
View attachment 489916
Mkuu naweza sema ndo sababu ya kuitumia ... Naufeel ile mbaya