Ndugu zangu!

Ndugu zangu!

Mmmmh...!! Ngumu kuamini labda kama pocket money alikuwa anapewa milioni kwa mwezi.
 
Lakini hajatuambia juu ya wazazi wake(huyo dada) mi nampa 50% ya ukweli kwa 50% ya uongo akileta story yote ndo marks zitahama aidha kwenda kwenye ukweli au uongo. Hii ndio huwa principle yangu I never underrate things before gathering sufficient information
 
Awache urongo huyo raia aseeeeee na sisi wenyewe 2mesoma from vidudu mpaka university,huwezi kujenga nyumba kwa pocket money miaka hii hapo dsm labda mtwara au lindi tena nyumba ya vyumba viwili na bado finishing hapo mimi naona anachojaribu kukwambia ni "hey am dada jambazi utauweza mziki wangu" na wewe ulivyo mdwanzi badala ya kumjudge hivyo unaanza kumuona kama mtu anayefaa kuwa rafiki piga chini halafu delete her hadi kwenye recycle bin damn
 
Hahahaaaaaaaaaaa! MABIG!!!!! MASMALL YANA NUFUU!!!!!!!!!!

Naimagine hio pocket money ilikuwa M 10 kwa mwaka ama?

ILA MWANAUME WA UKWELI HUTISHIWI NYAU! LOVE CONQUERS IT ALL!!!!!( Im changing people be supportive!) Binafsi chuo niliwahi kuwa beneficiary wa ma boom 2 kwa semista 1, na nilikuwa na BF hana kitu (That was longtime ago! we talkin good old 4 years), haishi kunikopa (I must confess alikuwa analipa madeni lakini) nilimpenda sanaaa, mpaka now nampenda penda kidogo ( That is because he was n still is supper handsome), wala money wasnt the issue (in the beginning only) ila alinichosha nikamuacha!!!!

Japo siku hizi he has a nice job, n cash (i wish i met him these times) ila ndo hivo tenaaaa! Bado bahili kama nini. Siku nikisikia kaoa roho itaniuma sanaaa. (Jst for no reason!) japo ill be sorry for the wife! Atapaukaje sasa! chezea bajeti!

Hahahaha chizi kweli wewe nimecheka balaa
 
Leo nitampigia simu jioni ili niiupdate hii story.
 
Hahahaaaaaaaaaaa! MABIG!!!!! MASMALL YANA NUFUU!!!!!!!!!!

Naimagine hio pocket money ilikuwa M 10 kwa mwaka ama?

ILA MWANAUME WA UKWELI HUTISHIWI NYAU! LOVE CONQUERS IT ALL!!!!!( Im changing people be supportive!) Binafsi chuo niliwahi kuwa beneficiary wa ma boom 2 kwa semista 1, na nilikuwa na BF hana kitu (That was longtime ago! we talkin good old 4 years), haishi kunikopa (I must confess alikuwa analipa madeni lakini) nilimpenda sanaaa, mpaka now nampenda penda kidogo ( That is because he was n still is supper handsome), wala money wasnt the issue (in the beginning only) ila alinichosha nikamuacha!!!!

Japo siku hizi he has a nice job, n cash (i wish i met him these times) ila ndo hivo tenaaaa! Bado bahili kama nini. Siku nikisikia kaoa roho itaniuma sanaaa. (Jst for no reason!) japo ill be sorry for the wife! Atapaukaje sasa! chezea bajeti!

ndo yule wa UN nini kama sio huyo ww mtt inabidi uolewe na mengi au bakheresa maana wengine hawatakuweza lazima wawe wana pesa za pembe tatu Tanzania, South Africa na China!
 
Nimempigia simu weeeeee, hakupokea, nikamtext kimya. Sasa najiuliza au kasoma hii thread?!
 
Awache urongo huyo raia aseeeeee na sisi wenyewe 2mesoma from vidudu mpaka university,huwezi kujenga nyumba kwa pocket money miaka hii hapo dsm labda mtwara au lindi tena nyumba ya vyumba viwili na bado finishing hapo mimi naona anachojaribu kukwambia ni "hey am dada jambazi utauweza mziki wangu" na wewe ulivyo mdwanzi badala ya kumjudge hivyo unaanza kumuona kama mtu anayefaa kuwa rafiki piga chini halafu delete her hadi kwenye recycle bin damn

Hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom