Mkuu hiyo part ipo Forest mpya au ile ya zamani...
Ukitaja mitaa ya Forest unanikumbusha mbali sana, maana ndio wengine tumekulia maeneo hayo...kuanzia kule juu kwa Mhindi Kassim hadi huku chini hospitali ya Meta...halafu kuelekea mitaa ya Summer Night huko hadi kule shule ya Msingi Mapinduzi...