NDUGU ZANGU TUACHENI UVIVU

NDUGU ZANGU TUACHENI UVIVU

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
223
Lipende neno la Mungu usikimbilie miujiza.

Miujiza yaweza kabisa ikawa haina neno, ila neno linayo nguvu ya kusababisha miujiza

Neno namaanisha Yesu, kwa hiyo kuna miujiza ambayo haitokani na Yesu, ila ukiwa na Yesu yeye hutoa muujiza

Miujiza haiwezi badilisha akili ya mtu au uelekeo wa mtu lakini neno la Mungu hubadilisha uelekeo wa maisha ya mtu.

So Engage with the word neither with Miracles, signs nor wonders
 
Mk 8:36-37 SUV

Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?

Mt 6:33 SUV

Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa
 
Ameeen,,,,,ilaaa sasaa watu hawayataki haya ya kwenye bibliaa mkuu wanayatakaa manenoo yakuambiwaa pokeaa gari,pokeaa nyumba na kiwanjaa,
 
Back
Top Bottom