Achana nao, wewe kaa kimyaaaaaaaaaaaa, wala usiwatafute, atakayekutafuta nawe ndiyo mtafute, atakayekaa kimya , na wewe kaa kimya zaidi yake.
Mtoto huyo ni wako wewe, na akikua atakusaidia wewe na siyo wao. labda Mungu kakupa huyp huyo, halafu ungemtoa baadaye umeolewa ukakosa mtoto ungebaki unajutia. MM nakushauri kaa na mwanao, mlee vyema, mpe elimu nzuri, watakuja wenyewe pindi watakapoona wewe huwajali. Muungwana ni vitendo, siyo maneno. BE STRONG AS A LADY!!!! GOD BLESS U! AND URE BABY!!!