Kwa mbili mbili kwa mbili mbiliMleta mada uwe una hudhuria vikao vya mabaharia. Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa binti kama huyo mpige mimba yeye na dadake mwenye kiherehere, hapo utakuwa umeutegua mtego.
Eeee ndio ndioMkipendana nyie inatosha sana msiishi kwa kufuata wengine watakavyo, ishini kwa namna mtakavyo nyinyi.
Ndio hivyo wakiishi kwa kusikiliza walimwengu wataishia kugombana na kuachana.Eeee ndio ndio
AhsanteIla ulikutana vipi na binti 20 years na ww uko na 35, mwaka gani mmekutana aisee. Wapi?
Muache binti wa watu. Acha ukoloni mzee. Umemdanganya tu huyo binyi. Otherwise, usije mpa mimba. Oa ndio umpe mimba kwa huo umri wako. Hata mm ningekushangaa.
Nilimaliza Chuo kikuu nikaanza kujitafuta. Alhamdulilah nilipo sio pabaya, nimeshanunua kiwanja cha sqr m 1600 na Niko najenga. Yeye nimekutana nae maana yeye alikuwa VETA. Siwezi kumlala kabla ya kumuoaIla ulikutana vipi na binti 20 years na ww uko na 35, mwaka gani mmekutana aisee. Wapi?
Muache binti wa watu. Acha ukoloni mzee. Umemdanganya tu huyo binyi. Otherwise, usije mpa mimba. Oa ndio umpe mimba kwa huo umri wako. Hata mm ningekushangaa.
Shukraniinaonekana ulianza shule ukiwa na miaka 15 mkuu ndo maana ulichelewa kumaliza masomo.
imagine wife kazaliwa kipindi cha jakaya af wewe kipindi cha mwinyi, mimi ningekua ndugu wa huyo binti ningekung`oa mapua
YesMkuu kweli una 35 years?😔
Mboni huu umri wa kijana au umeshazeeka kabla ya wakati Mzee? Unaweza ukawa una miaka 35 ila unaonekana km una miaka 80, sasa hapo ndipo kasheshe ilipo ungesindikiza na kapicha kidogo ili tukupe ushauri vizuriMimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama yake na mama yake pia majibu ni hayo hayo. Kila akijaribu kuwambia kuwa nilikuwa shule hawaelewi badala yake wanamcheka kuwa anaenda kuolewa na mbaba mtu mzima.
35 ni kijana kabisa wala sio mbaba mtu mzima, wewe muonekano wako ndio unaokuponza unaonekaje onekanaje?
mkuu ulichokiandika na umri wako mbona haviendani? Unateswa na kitoto cha miaka 20?
Huwezi kumlala kabla ya kumuoa, kwa kauli hii inaonesha wewe ni mporipori haswaa and I guess wewe ni wale mnavaaga suruali la kitambaa na shati za vitenge chini unavaa safety bootsNilimaliza Chuo kikuu nikaanza kujitafuta. Alhamdulilah nilipo sio pabaya, nimeshanunua kiwanja cha sqr m 1600 na Niko najenga. Yeye nimekutana nae maana yeye alikuwa VETA. Siwezi kumlala kabla ya kumuoa