sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,946
MODERATOR, nina kuomba msitoe uzi huu, ninaomba sana na ninacho kisema nina amanisha,
Ndugu Raisi, uniwie radhi mimi stopenda nikuite Mh maana mimi ni muumuni wa Ujamaa!
Ndugu Raisi, katika uteuzi mbalimbali ulio ufanya kuna watu amabo najua ni kimakosa umewapa vyeo mara mbiri, na ninajua kuwa utakuwa upo kwenye mchakato wa kuwatoa uweke wengine.
Ndugu Raisi, mimi ni kijana wa kitanzania nina elimu ya shahada moja na nina umri husiozidi miaka 33, ninaishi Da resalaam.
nina ujuzi wa kazi wa miaka hisyopungua miaka 3, ila kwa sasa sina kazi ninaomba mkuu wa nchi unipe kazi niitumikie nchi yangu.
Ndugu raisi, ninaomba unisaidie, hao wenye vyeo niwili ndugu raisi wakati wengine hatuna kazi na elimu tunazo, ni upendeleo mkuu, tafadhali ninakuomba unisaidie kazi ili niweze kulipa deni la Bodi ya mkopo, na nilipe kodi!
Ndgu raisi najua wewe ni msomaji wa JF, tafadhali sana mimi nipo tayari kufanya kazi popote pale, nchini na nje ya nchi!
Ndugu Rais, ni mimi Raia, ambae sipendi kujiunga na makundi, nipo tayari kwa kazi!.
Tafadhali pokea maombi yangu!