Habari wakuu!
Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata.
Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu wilayani mkuranga-pwani. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi naomba amsaidie.
namba yangu ya mawasiliano ni 0656208659 na namba yake ya mawasiliano ni 0757942975. Natanguliza shukrani.