Ndugu yangu!! Kwanini unataka kuniua bure??

Ndugu yangu!! Kwanini unataka kuniua bure??

Kupendana na kuwa na ushirikiano sio jambo rahisi, Ni watu wachache watakuwa pamoja na wewe na ni wachache pia watakuchukia,
Kikubwa ni kumuomba mungu atusaidie na kurudisha amani.
Theory yangu inasema,
Goldie ink theory, " there is no neutral, it either positive or negative in any situation "
 
naona kama unajichosha manager bom lilipasuka mda wew unahisi limepasuka leo
 
Mungu alipomuumba mwanadamu aliinstall upendo kwenye kila kiungo chake.
swali atakalotuuliza siku ya Mwisho, hiyo chuki uliitoa wapi?
 
Back
Top Bottom