Ndugu yangu kila siku anaingiza wanawake chumbani, nimechoka naombeni ushauri wa haraka

Mambo ya kukaakaa na ndugu na mmepanga chumba kimoja ni miyeyusho trust me.

Kama pesa ipo kapange kwako.

Otherwise hata wewe unahitaji kuwa mkali.

Unless kama yeye ndio kalipia hiyo kodi yote na wewe hujatoa hata mia.

Ila kinyume cha hapo acha kuwa mzembe.

Ndugu mjinga kama huyo siyo wa kumvumilia.
Hapana namheshim sana afu sikujua kuwa ana tabia hii

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Huyo ndo tabia yake huyo hata umwambie hawezi acha kwa haraka msoto utaendelea nao tuu, chamsingi kodi ikiisha ondoka hapo mambo ya share sio mazuri.

Ila ili upate kaunafuu kwa muda ila sio ndo uzani ataacha hio tabia, umweke wazi kuhusu jambo hilo illi atambue. Walau atapunguza ila sio kuacha, kama ulikuwa unalala saa 7 utalala saa 5.
 
Kama unaweza kuchanga 300k nakushauri hiyo kodi ikiisha bora ukapange chumba chako peke yako ukae kwa amani bila usumbufu
 
Back
Top Bottom