Ndugu yangu Kikwete, Kadi yangu utaikuta mlangoni

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
 
Message sent and delivered I just hope it will be read as well before our dear moderators who so much believe in "free speech" put it down with a huge ban kwa muanzisha mada.
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
 
Hiki kinapaswa kiwe kitisho au? Kama unampenda sana Mwenyekiti kama yeye binafsi si umfwate aendapo akakupe kazi? Anazo nyingi tu hata Wama inahitaji watu!
 
Si
Vijana wa Lumumba baada ya kukoswa u-DC sasa wamecharuka.
siyo U DC , Kwani jamani hamuoni hali ni mbaya? Sasa hivi ni Kama kila kitu kimesimama. Mfano mdogo ni bandari. Yeye alifikiri ni rahisi kuendesha, na hata alidiriki kumkejeli Kaka Jk kuwa ati nchi imeoza.

Sasa Mbona hatuoni kipya, maisha kila Siku ni bora ya jana. Mwenye Duka hauzi mwenye bar hauzi mjenzi hajengi. Viwanda havizalishi Kama zamani kwa sababu wateja hakuna. Jamani hali ni mbaya mno, mwulize muuza matofali Kama siku hizi kuna mteja wa tofali.!
 
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
Ufisadi ni sawa kupambana nao lakini mbona matunda hatuyaoni?kumbuka ni bado miezi 3 tu kutimia mwaka. Mitaani hakutamaniki, watu wanatia huruma.hakuna pesa. Mwisho kabisa tutajiunga na vijana wa CHADEMA Kule dodoma kuzuia hii kitu.Mbona alipoingia Mzee Mwinyi ndani ya miezi 3 tu nchi ilifunguka kwa furaha kwa sera yake ya RUKSA?
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.

Usidanganye watu. WEWE SIO MWANA CCM hata tone. Ndio wale wapinzani mnaoogopa Magufuli kuongezewa madaraka. Wewe ni kati ya wale mnaosema (japo nina uhakika mnafahamu hamtafanikiwa) mtazuia ule mkutano wa Dodoma wenye lengo la kumkabidhi Magufulu uenyekiti wa CCM.
 
Si

siyo U DC , Kwani jamani hamuoni hali ni mbaya? Sasa hivi ni Kama kila kitu kimesimama. Mfano mdogo ni bandari. Yeye alifikiri ni rahisi kuendesha, na hata alidiriki kumkejeli Kaka Jk kuwa ati nchi imeoza.

Sasa Mbona hatuoni kipya, maisha kila Siku ni bora ya jana. Mwenye Duka hauzi mwenye bar hauzi mjenzi hajengi. Viwanda havizalishi Kama zamani kwa sababu wateja hakuna. Jamani hali ni mbaya mno, mwulize muuza matofali Kama siku hizi kuna mteja wa tofali.!
Wanaishi Kwa shemeji hawawezi kuyajua yote hayo
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Wewe ni fisadi wa CDM kadi ya ccm unafanyia nini?
 
Vijana wa Lumumba baada ya kukoswa u-DC sasa wamecharuka.
Wanaomtetea Magufuli mnawaita vijana wa Lumumba, wanaomponda magufuli bado mnawaita vijana wa Lumumba; nyinyi vipi? au ndo ile ya kusema chama chenu hakina msimamo?
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Major siyo mwana CCM. Acha kuzuga wewe muhuni muhuni tu.
 
Hayo madudu ambayo tunaambiwa yalikuwa yanaendelea huko bandarini, hata kama sasa imekuwa nyeupe acha iwe.

Kuna pahala nilisikia hadithi kwamba huko zamani za kale kuna kabila Afirika kaskazini waliamini wizi ni kazi muhimu na ya heshima sana katika jamii. Role model wa kabila hilo walikuwa majambazi waliofanikiwa. So ikawa hata mzazi mwenye mtoto mdogo anamuombea akuwe na awe jambazi aliyefanikiwa.

Huku kulialia kila siku humu mitandaoni inaonyesha taifa hili ndiko lilipo kuwa limefikishwa. Kuona kipato kisicho halali na ufisadi ndio order of the day.
 
T
Major siyo mwana CCM. Acha kuzuga wewe muhuni muhuni tu.
Tatizo lako ni kwamba kila mwenye mawazo tofauti na wewe, unamwona ni mpinzani. Kila mtu anao uhuru wa kutoa duku duku lake na hiyo ndiyo demokrasia. Ina maana hata wale walioimba wimbo wa "tuna imani na Lowasa" tena wazi wazi mbele ya Mwenyekiti wa chama ktk mikutano ule wa kutafuta mgombea wa urais ccm na wao pia siyo CCM

Open your Mind. Kila ukweli lazima tuseme. Nasema kila mahali hali ngumu. Kwa kifupi ni CCM Tumeangukiwa na jumba bovu.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom