Ndugu yangu kaoa kahaba? Tumshauri basi

Were mwenyewe, unadhani Wadau wangapa Wamesoma yote Ndefu hivi??
 
Ngoja nisome comments tu! Maanake hiki kitabu cha Eric shigongo kabisa[emoji3][emoji3]
 
1. Demu aachishwe kazi awe Maza hausi.
2. Jamaa asiweke mpangaji ktk nyumba anayoishi, na Kama kapanga basi achukue nyumba nzima.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Namjua huyu demu asee wamoto sana keupe kafupi hivi kanaakili sana
 
ifike mahali MODS waweke ipengele cha VOICE NOTES..angalau story ndefu kama hizi ziwe za sauti kuliko maandishi
 
Sass hivi anaendeleaje huyo mwanamke na huyo jamaa yako?

Wanawake watamu asilimia kubwa huwa wamechakatwa haswaa na wanakuwa kama na kalaana fulani cha kila mwanaume anayemsogelea kutamani kumgegeda. Bora huyu shemeji yako at times alikuwa anafanyia shida.

Wengine hata siyo kwa shida hizi ,lkn mbususu zao zimepigwa haswaa.

Huyo mwanamke anahitaji huruma na msaada ,kapitia magumu mno- am really feeling sorry for her.

Nitafurahi kusikia jamaa hakumuacha na alimtafutia msaada wa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…