Ndugu yangu kaoa kahaba? Tumshauri basi

BABU KIDUDE
Jamii forum ilikuwa zamani ila kwa sasa ni kazi bure. Hii forum kipindi cha nyuma ilikuwa ina watu waelewa na wenye kujitambua japokuwa wapo ila kwasasa ni wachache sana. Kama una masuala yako yanayohitaji ushauri bora ukayamaliza nje ya jamii forum kuliko humu maana watu badala ya kujadili mada yako wanaanza kujadili uandishi wako japokuwa umewaomba radhi kwa uandishi. Hii forum ishavamiwa na watoto na siyo salama tena kwa masuala nyeti kama ya kwako.
Huyo mwanamke bado anampenda jamaa ila shida bado anatabia ya huruma na jinsi mlolongo wa wanaume wanaomfuatilia lazima wamtafune kama ataendelea na kazi. Kama ikiwezekana jamaa amtafutie kazi ya kujiajiri tofauti na hapo hao jamaa lazima wamtafune tu na wala haiepukiki kuliwa.
 
BABU KIDUDE

Acha uongo.

Huwezi ukaandika story kwa undani na urefu kiasi hiki, halafu useme ni Jamaa yako.

Hii inakuhusu wewe mwenyewe!

Btw am sorry.. nime komenti bila kusoma!
 
Kweli writing skills ni hitaji la muhimu kwa vijana wa kitanzania
 
Ehhh huyu dada kapitia maisha magumu sana jmn
Plus ni mzuri..usumbufu mwingi

unatongozwa na watu 20 at once utakataa wote?..na pesa wanatoa

mume hapo achague kusuka au kunyoa..tabia ya mke na haiba yake/uzuri alopewa na Mungu uko bayana
 
Ni hadithi tu hii, maana kwenye uhalisia haiwezekani mwanamke amwelezee mume wake matukio yote haya tena kwa mtiririko na mpaka wanaotaka kumla soon, huyo mwanamme si atazimia.
 
Dah pole yake, maana unakuja kugundua ni tofauti na unavyo mfahamu, anyway ampe nafasi nyingine, but inabidi ampeleke kwa maombi.
 
haaaaaaa huyo majanga
 
Haiwezekani ukariri story ya kusimuliwa kiasi hiki... Wewe ndio mhusika... Samahani lakini Mkuu 🏃🏾🏃🏾🏃🏾
 
Nimejitahidi nimeisoma yote ila kwa shida sana mkuu..

Dah!!..huyo mdada kapitia magumu sana na amekuwa na wanaume wengi kwenye uhusiano wa kimapenzi ila hakuwahi kupata mimba/ujauzito.

POLE SANA KWA JAMAA YAKO
 
Acha uongo.

Huwezi ukaandika story kwa undani na urefu kiasi hiki, halafu useme ni Jamaa yako.

Hii inakuhusu wewe mwenyewe!

Btw am sorry.. nime komenti bila kusoma!

Ahhh ningekuwa mimi Nishaachana naye Kitambo na nisinge pata hata Nguvu za kaundika haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…