Ndugu yangu anataka kazi TRA

Dah sijui niandike vp Kama wewe n msom walau wa darasa la 12 basi nadhan unajua TRA ni taasisi ya umma Kama n hvyo kazi zote zinatangazwa utumishi ndio wenye jukumu la ajira za umma

Sasa mkuu unahtaji msaada upi utupe rushwa ili tumuweke kijana wako mwambie awe anacheck utumish Kama Kuna kaz ya tra inayoendana naye aombe

ILA AJUE TATIZO LA AJIRA N KUBWA MPE MTAJI AJIAJIRI ILI AJE AAJIRI NA WENGINE
 
Mwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.[emoji448][emoji448][emoji448]
 
Sawa nimekuelewa ila unavyosema utumishi unamaanisha nin? au huwa zinaombwa kupitia utumishi?yaani majina yanafika vipi utumishim
 
Mwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.[emoji448][emoji448][emoji448]
TISS ndio nini ndugu
 
Mwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.[emoji448][emoji448][emoji448]
tiss ndio nini ndg
 
Aende longroom ashike bango kuwa anaomba job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…