frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 61
- 11
Nina ndugu yangu anatafuta kazi ya ulinzi dar elimu ni kidato cha nne, au kazi yoyote iliyo halali, nawasilisha,
Mkuu vipi ana cheti labda cha mafunzo yoyote kama mgambo au j.k.t !! Na kama anavyo aende pale makao makuu ya suma j.k.t anaweza chukuliwa kama vigezo atakuwa navyo!!Nina ndugu yangu anatafuta kazi ya ulinzi dar elimu ni kidato cha nne, au kazi yoyote iliyo halali, nawasilisha,
hapana mkuu hana cheti cha mgambo alimaliza tuu form four akafeli so yupo nyumbani tuu amekaa sasa bora apate hata kazi ya ulinzi asukume gurudumu la maishaMkuu vipi ana cheti labda cha mafunzo yoyote kama mgambo au j.k.t !! Na kama anavyo aende pale makao makuu ya suma j.k.t anaweza chukuliwa kama vigezo atakuwa navyo!!
Tofauti na elimu yake ana fani gani nyingine labda!hapana mkuu hana cheti cha mgambo alimaliza tuu form four akafeli so yupo nyumbani tuu amekaa sasa bora apate hata kazi ya ulinzi asukume gurudumu la maisha
alikuwa anajishugulisha na masuala ya kuuza mitumba, fani nyingine kwakweli hana ila ni mwepesi kujifunza mkuu.Tofauti na elimu yake ana fani gani nyingine labda!
nimrefu mkuuAende Kksecurity Dar wana ajira kama ni mrefu