Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Tatizo nini ?Sio kila ndugu anafaa,sio kila ndugu anayekuomba msaada kashindwa ,walio wengi wanakuja kwako kwasababu wameshagundua pesa zako huna malengo nazo zipozipo tu,wanakuona mpumbavu fulani,fanya uchunguzi utakubaliana na mimi,Kama una pesa wekeza kwa ajili ya familia yako ziwasaidie siku utakapokuwa umetangulia mbele ya haki,maana hao ndugu zako feki hawatakuwa na msaada wowote kwa familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipate shida ni rahisi tu,kataa ushauri wanguNapata shida kukubali ushauri wako, hasa baada ya kusoma ID yako!
Yeyote yule anayetaka kuteketeza vyako hali ya kuwa naye na vyake,ambaye hana msaada wowote kwako isipokuwa anataka asaidiwe yeye tu kila maraUnamaanisha ndugu feki wepi mkuu? Yaani marafiki au ndugu wa Shangazi au
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengine unaweza ukamuona kabisa huyu anaweza kuisadia familia yangu,Kuna wengine ndugu wa msimu tu hawezi kukutafuta akujulie hali,ukiona simu yake lazima ujiandae kupigwa mzingaUkishagundua kuwa,kila mmoja atakuwa na familia yake,na mapenzi yataamia kwa familia yake...hakuna haja ya kuumiza kichwa. Kaka,dada,wadogo zako watakuwa na familia zao..kwa hiyo kwa baadaye wao kuja kuwajali familia yako ni probability