Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Habari zenu ndugu zangu hapa MMU.
Naamini mu wazima ila kwa wale wenye shida mbalimbali msijali Mungu wetu ni mwaminifu bado anawapigania!
MADA: Kwa jina naitwa Nikhil nikijana mwenye miaka 22 Makazi ni MOSHI.
Naweza nikasema maji yamenifika shingoni!
Mnamo Mwezi wa nane 15 nilimaliza elimu yangu ya Certificate of Pharmaceutical assistant katka chuo cha Paradigms kilichoko Kimara lakini kwa shida na taabu ya kuhusu ada .
Wazazi wangu kwa sasa wameshindwa kunisomesha kunalizia mwaka wangu wa mwisho wa Diploma ili nifuzu elimu yangu yote ya pharmaceutical Tecnician.
Utajiuliza ni vipi washindwe ila mimi nimekuwa nikiishi na Mama tu baba yangu mzazi alinitoka mnamo 2006 nakumuacha mama akifanya biashara yake ndogo ya duka pamoja na wadogo zangu watatu kumbuka na wote wako shuleni.
U tajiuliza vip kuhusu ndugu zetu . Ndugu zangu wana uwezo ila hawataki nisome na kuhusu hilo wameonekana wakijitenga hata na familia yangu naona ni chuki tuu za kimaendeleo.
Nimejikuta nikiingia wakati mgumu kwa kuwa nilijipamoyo mama atapata tuu lakini hali yake kwa kunisomesha mimi ili nimalize ameshindwa kuipata na namuonea hurumamama angu bado namagonjwa ya utu uzma kama kisukari na presha yana msumbuaa.
Utajiuliza kwanini nisiishie certificate niisaidie familia yangu system ya mwaka huu naona inebadilika sana maana tangia tufanye mtihani mwaka huu mwezi wq nane mitihani yote ya certificate ilienda kusahihishiwa Dodoma na sio chuo .
Ila mpaka leo matokeo bado na vyuo vingi vishaanza kufunguliwa mnamo tarehe 7 mwez huu na watu wanaendlea kusoma mwaka wa mwisho inaniuma sana maana hata Marafiki zangu wako CHUONI wqnasoma.
Wakuu kuhusu hatma yangu mi niko mahali kutokana na kufanya field Hospital ya mawenz iliyoko Moshi Mjini Mama mmoja mfamasia aliniambia niendelee kufanya temple katika famasi yake iliyoko Boma n'gombe Moshi huku nikiendelea kujipanga kuhusu chuo anajua narudi chuo.
Ila nimemwonba niendelee kupiga kaz kwa muda kama miez miwil huku nikijipanga kuhusu chuo.
Kinachoniuma ni mshahara mdogo laki na hamsini mwez ukiangalia anawafanyakqz wengi na mimi nilimwomba temple tu .
INANIUMA SANA KUHUSU KUSOMA NA KUNALIZA CHUO NDIO HATMA YANGU NA FAMILIA YA WAZAZI WANGU.
Wakuu mawazo yenu ndio msaada wangu nimefikiri sana mpaka sasa nashindwa nifanyeje .
Sijui ijinsi gabi nitapata mkopo nisome. Pia hata mdhamini nitampataje sijui nianzie wapi . MAWAZO YENU NDIO MSAADA WANGU. Ada Day kwa mwaka ni ml 1.5 hiyo ya malazi mama anaweza kunisaidia mpaka ninalize.
NAPENDA KUWASHUKURU KWA KUPOTEZA MUDA KUSOMA JUU YA HILI.
In case ushauri zaidi 0763705011.
ASANTENI NA MCHANA MWEMA.