Ndugu wa mume kiboko aisee

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
Haya mambo bwana nlikuwa naskiaga tu kwa watu sasa nayashuhudia live nacheka sana alafu namkumbuka Nicas Mtei mimi nashangaa mbona mama mzaa chema halalii mimi nauchapa nkisikia mume wangu kaja naenda fungua mlango akichelewa mama hatoki sitting room sasa jana jamaa anamuuliza mama yake unafanya nini hapa mama saa4 hii hujalala anajibu''siwezi kulala mpaka urudi'' niliangua kicheko mpaka nikaanguka kuna jirani yangu mmja nae aliniambia mama yake mkwe toka alipokuja ndani ya nyumba na ndio mwisho wa kula na mumewe kwani mama anangangana kula na mtoto wake na atamsubiri hali mpaka arudi hahaha .kweli kuishi na watu tabu mara nyingine anamwita mwanae chemba kunong'oneza.mna matatizo gani ndugu wa mume?? Mnaona twafaidieee humo vyumbanieee mkome laleni nao basi
 
Last edited by a moderator:
Umejeneroraizi mno, au umesahahu na wewe ni ndugu wa mume kwa kaka yako? Tena wifi? Yaani umenikumbusha kuna binti alikuwa anataka aolewe na mwanaume aliyefiwa na mama na dada zake. Sasa nikashangaa kama kila mmoja akiwa na imani hiyo hakutakuwa na mtu duniani
 
Last edited by a moderator:
najua sana na ninao mawifi lakini sisi sio wagonjwa wa akili namna hiyo hakuna wifi yangu anayejuta hata mmja kwanza kwenda tu kwao hapo mbezi ni mara moja kwa mwaka tena nikitoka kwenye shughuli zangu.kuna wifi mmja alikuja nkasikia aliingia chumbani kwangu hgal wakamwambia humo ni marufuku kuingia akasema naingia ni chumbani kwa kaka yangu akawa anatembea ndani kwangu na kanga moja au kitenge bila kitu kama mama mwenye nyumba hehehehe sidhani kama anatamani te a kuja hapa tena .
 
Subiri mwanao wa kiume akioa utapata majibu mazuri..Na ww utamsubiri mwanao tena mpk saa saba
tupo hapa sitting room tunamsubiri mume wetu haahhahahahahaahhahha ananiuliza leo kazi zimekuwa nyingi huko oficini hahahah
 
Siku moja nilikuwa kwenye kikao cha wakina mama cha mtaani kwetu mama mja jirani yangu pua mdomo akawaanahadithia jinsi mama mkwe wake anavyomfanyia vituko mpaka kumtafutia mtoto wake mke wa pili blabla mama mja akamshauri huyo mpe sumu nlishtuka mpaka mshipa wa moyo sikuamini macho na akili yangu.nikaja sikia tena yule mama anasema namwombea huyu mama afe kha!!nikamuuliza wewe unaishi milele?akasema hata nikiishi 1week baada ya yeye kufa italipia miaka nloteswa nae .enyi wanaume kuwenu makini na mama zenu na wadogo wenu wapeni limits za familia na wajue kuwa ile ni empire nyingine ni shida sana.
 
Twin kwani wewe siyo ndugu wa mume?
ila pacha hiyo kiboko..... mama mkwe anamsubiri mwanaye, lol! wakati wewe mke mtu umeuchapa usingizi barabara.....
Uchungu wa mwana........ jazi mwenyewe hapo pacha
 
tupo hapa sitting room tunamsubiri mume wetu haahhahahahahaahhahha ananiuliza leo kazi zimekuwa nyingi huko oficini hahahah
ha haaaa, mwambie kaniambia leo analala huko huko, twende tu tukalale, lol!
kwani hapo hakuna mbu pacha? mwambie aingie chumbani kwake unataka kupiga dawa ya mbu sitting room
 

Yamekukuta ee? Umekubali nlichokwambia?
 
Last edited by a moderator:

Hata wewe ukija kwangu lazma uzingatie vigezo na masharti
 
Hahahahaahahah Nicas Mtei yamenikuta mweeeeee ila dalali siunajua mimi sitanii unakumbuka hitler alisema hivi''my silence has an end''juzi kaanza msumanga yule msichana wa kazi aliyejifungulia hapa eti aende kwa mama yake kama ni mtoto akikua watamchukua nkamwambia sikiliza hujawa msemaji mkuu wa familia ataondoka hapa na aliyempa mimba
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe ukija kwangu lazma uzingatie vigezo na masharti
ha haaaaa, hakuna chezeya mamsap!
salama shem?
wengine kwetu tangazo limebandikwa mlangoni....
"nyumba hii ni ya FP ikisaidiwa na teja"
kila anayekuja ni sawa na mtoto tu ambaye anasubiri kuambiwa kabandike maharage
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, taratibu pacha, mama mzaa chema huyo, lol!
 
FP my twin sio uchungu wa mwana huu wewe hujui tu huu ni ujinga tatizo wameshindwa nielewa mimi huwa nacheka tu na siongei mara mbili napita na vyangu. Jamaa kaingia kamsalimu huyo kamwacha kaingia chumbani hahahahahahahahah lol anakwepa kuwa alikuwa hasubiriwi hehehe mbavu zangu mie.mimi simwambii mtu akalale nazima tu taa.
 
Last edited by a moderator:

hahahaha. Dalaliii naamini umeweka time frame. Sekunde znapga ding dong ding dong. Countdown inaendelea. Zimesalia siku ngapi dalali?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…