Kisasi ni juu ya Mungu, Huwezi jua mipango ya Mungu kumtumia mama wa kambo kukulea na kukusomesha, inawezekana mama mzazi angekulea asingekusomesha, na usingekua hivyo ulivyo, mshukuru Mungu kwa yote, na uwasamehe waliokukosea ila uishi nao kwa akili.
Dah, kwa hiyo unataka majirani ndiyo wakusaidie decision ya nini cha kufanya kuhusu nduguzo?..... Halafu ni graduate!
Well, ningekuwa mimi ningewaambia warudishe kwanza mali za mjane, waoshe mikono yao ndiyo tuzungumze. Kwani wewe ni kabila gani, maana haiingii akilini wewe unaishi na mkeo na watoto eti ukifa aje nduguyo kuchukua nyumba, ataanzaje/