figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,832 Reaction score 63,321 Nov 1, 2025 #1 Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,456 Nov 1, 2025 #2 Maandamano ni haki ya kikatiba.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,571 Reaction score 55,690 Nov 1, 2025 #3 figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... She has no right to do so
figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... She has no right to do so
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,706 Nov 1, 2025 #4 figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... Alaaniwe yeye Ida Amin Mama
figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... Alaaniwe yeye Ida Amin Mama
John Fedha JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 743 Reaction score 900 Nov 1, 2025 #5 Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika. Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama.
Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika. Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama.
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,690 Nov 1, 2025 #6 Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
bongo-live JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 1,734 Reaction score 2,303 Nov 1, 2025 #7 Ametinga dar, chini ya ulinzi mkalii
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,141 Reaction score 5,631 Nov 1, 2025 #8 figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... Stupid woman.......amesahau utekaji na mauaji
figganigga said: Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana Click to expand... Stupid woman.......amesahau utekaji na mauaji
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,706 Nov 1, 2025 #9 John Fedha said: Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika. Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama. Click to expand... Ni kweli nchi imepata rahis na maandamano ndo yanaanza internet ikirejea.
John Fedha said: Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika. Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama. Click to expand... Ni kweli nchi imepata rahis na maandamano ndo yanaanza internet ikirejea.