Ndugu Samia S Hassan alaani Maandamano

Ndugu Samia S Hassan alaani Maandamano

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,673
Reaction score
59,144
Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
 
Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika.

Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama.
 
Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
 
Ametinga dar, chini ya ulinzi mkalii
1000187919.jpg
 
Yeye ndiyo wa kulaaniwa kwa damu alizomwaga za Watanganyika.

Kuanzia utekaji mpaka siku ya maandamano Watanganyika wanazidi kupoteza maisha chini ya huyu Idd Amin Mama.
Ni kweli nchi imepata rahis na maandamano ndo yanaanza internet ikirejea.
 
Back
Top Bottom