Ndugu Mwigulu, unasababisha foleni kubwa sana. Hamia Masaki kwenye makazi rasmi ya PM

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,571
Reaction score
4,820
Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani.

Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay maana kuna makazi rasmi ya Waziri mkuu.

Mfano leo.Saa asubuhi umeleta.adha kubwa ya foleni pasipo sababu ya msingi ulipokuwa ukitoka kwenda JNICC.

Nawasilisha.
 
Kumbe ni yeye anayetusumbua kiasi hiki
 
Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani.

Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay maana kuna makazi rasmi ya Waziri mkuu.

Mfano leo.Saa asubuhi umeleta.adha kubwa ya foleni pasipo sababu ya msingi ulipokuwa ukitoka kwenda JNICC.

Nawasilisha.
Ni maeneo gani hayo, tuyakwepe foleni!
 
Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani.

Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay maana kuna makazi rasmi ya Waziri mkuu.

Mfano leo.Saa asubuhi umeleta.adha kubwa ya foleni pasipo sababu ya msingi ulipokuwa ukitoka kwenda JNICC.

Nawasilisha.
Yaani umeandika mengi sana ila hujasema anakaa wapi...
 
Mbezi beach eneo linaitwa Rungwe karibu na EFM headquarters
 
Back
Top Bottom