Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
hahahha...hapo sasa si ndio unatafuta ugomvi na ukoo mzima?@boss
Mie napenda sana kusaidia ndugu zangu, huwa naona huruma sana lakini hawa ndugu ambao sio tumbo moja huwa na wivu sana aisee,hata umsaidie vipi ataleta za kuleta tu,huwez amini unampeleka ndugu ako nje kusoma unamuomba akija aje na aina fulani ya perfume anamtumia msg mama ake kulalamika, then anakosea inakuja kwako, ungekuwa wewe ungejisikiaje,unakaa kimya bila kulalamika anaamua kuja nayo, then kuondoka anakuja tena kuomba pesa,hii ipo sanasana unafanyaje coz roho mbaya huna unampa tu,ila sasa nahisi nimejifunza kitu fulani,hata ujifanye mwema kiasi gani bado watakutafuta wakuchomekee kidole mat,,,,,

sasa si ukichomoe tu hiko kidole...au una enjoy?????? lol

wengine tumeumbwa na huruma yaani mie nina matukio na ndugu zangu mpaka aibu, unajua sie ni mayatima yaani mie na jamaa tangu miaka mingi tu kwa hiyo tunajua kabisa ni lazima kusaidia ndugu, yaani hata usipomsaidia atakuja kwako kula kila siku,kuna wakati unajikausha lakini inabidi tu ujitutumue
mh mada imenigusa bandugu, kwani nahisi naelekea huko kwenye kutupiwa lawama zisizo na msingi. Nikikumbuka maisha yangu ya shule, ni wachache walioweza kunisaidia tena wale wenye uwezo kiduchu, kuna waliokuwa mbali nami sikujali nikakomaa na shule, nashukuru Mungu sikuwahi feli hata siku moja. Hivi majuzi nime-graduate, toka waliposikia nipo chuo kikuu salamu zikaanza na wengine wakijisifu, "huyu mwanangu kabisa", tisa kumi sasa wameanza kunihubiria et nisioe mapema, kwani sitowasaidia na maneno mengine mengi.Jamani hili neno ndugu lawama kila mtu anaweza kulitafsiri kivyake lakini kwa mimi ni wale ndugu ambao hawaridhiki hawataki kufanya kazi wao kutwa kucha ni kulalamika tu na kufuatilia mienendo yako..... ndugu unataka kumsomesha unamwambia nakulipia kila kitu kuanzia ada na mambo mengine anaenda shuleni anacheza cheza hadi anafukuzwa au anafeli,, wengine ambao ni wakubwa kwako ......wao kazi ni moja tu kupiga mizinga maro oo unaoa lini.... mara umeoa mke mbaya ... mara oo umenunua nini..mara utakuja kulogwa mara wengine wamekutafutia mganga wa kienyeji.. nani anawaambia kuwa kila mtu anaishi kwa nguvu za giza?........ jamani hawa ndugu lawama nadhani hata nyie mnao au wewe ni mmoja wapo

nawakilisha ,.....
Gaga pole sana mtu wangu.. hapo nimekupata manake unaweza kukuta baadhi ya hao ndugu wengine walikusaidiaga wakati unasoma sasa watoto wao nao wanakuamgalia huna jinsi ..najua sana hii situation

wengine tumeumbwa na huruma yaani mie nina matukio na ndugu zangu mpaka aibu, unajua sie ni mayatima yaani mie na jamaa tangu miaka mingi tu kwa hiyo tunajua kabisa ni lazima kusaidia ndugu, yaani hata usipomsaidia atakuja kwako kula kila siku,kuna wakati unajikausha lakini inabidi tu ujitutumue
ukiamua hakuna ndugu wa kukubabaisha,hawathubutu
n
mimi nyumbani kwangu hakuna ndugu anaekuja bila taarifa.....
wala kuniletea shida yake bila kutafakari mara mbili
si entertain ujinga kabisa........

Gaga pole sana mtu wangu.. hapo nimekupata manake unaweza kukuta baadhi ya hao ndugu wengine walikusaidiaga wakati unasoma sasa watoto wao nao wanakuamgalia huna jinsi ..n
ajua sana hii situation
mkuu hii dawa mbona naona kama ni kali sana?si unajua kuna leo na kesho?Asante sana Boss maana hilo nalo neno! mijitu mingine yaani ndugu asilogwe kuwa na ka-cheo au uwezo fulani, inakuwa nongwa! asubuhi sana mapema wako majumbani mwa watu hata aibu hawana. ukiangalia wana viungo timilifu mwilini lak hawaishi kuomba omba. hawa ndio wale wanadiriki kupokonya mali zoote endapo mwenza mmoja anaaga dunia. wakati wa karne hii si wa kutegemeana kwa percent 100 kwa mia kwa ndugu. dawa yao ni hiyo tu ya kuwatimua
Ndugu wa namna hii wanauzi kweli, wao hata uwafanyie nin shukrani hawana, kukicha ni minong'ono na malalamiko yasiyo na tija. Hovyo sana hawa!
offcourse ndugu wa tumbo moja hata ukimuacha lazima nafsi ikusute tu....kuna ndugu na ndugu jaman, ndugu wa tumbo moja mm cwez kumuacha no matter nina na mali kiasi gani bt still nakumbuka magumu tuliyopitia.
Mf. Inaweza kutokea umepata matatizo makubwa na una hali mbaya kifedha mpaka kiafya ndugu wengine wanaweza kuku kimbia bt ndugu wa tumbo moja he/she can't. Am talk frm ma own experience.