Akilitime JF-Expert Member Joined Dec 27, 2017 Posts 581 Reaction score 763 Oct 18, 2020 #1 Wasalaam, Je, umewahi kujitolea kufanya Kazi bure bila malipo yoyote? Je, uliwezaje kumaliza salama? Au unatumia njia gani ili Kazi iende na maisha yako binafsi yasikwame? Karibuni wakuu.
Wasalaam, Je, umewahi kujitolea kufanya Kazi bure bila malipo yoyote? Je, uliwezaje kumaliza salama? Au unatumia njia gani ili Kazi iende na maisha yako binafsi yasikwame? Karibuni wakuu.
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,570 Reaction score 20,099 Oct 18, 2020 #2 Inategemea unajitolea sehemu gani kwa malengo gani, na kwa muda gani. All in all kitu chochote ama mafanikio yoyote kwenye maisha yanahitaji uvumilivu. Let's meet at the top, cheers🍻
Inategemea unajitolea sehemu gani kwa malengo gani, na kwa muda gani. All in all kitu chochote ama mafanikio yoyote kwenye maisha yanahitaji uvumilivu. Let's meet at the top, cheers🍻
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,277 Reaction score 6,176 Dec 16, 2020 #3 nilijitolea mahala flan bila hata senti 10 ... nikaona nafwaa nikakimbia .... huku nyuma fursa zikaanza kumwagika .......life aisee 🙌
nilijitolea mahala flan bila hata senti 10 ... nikaona nafwaa nikakimbia .... huku nyuma fursa zikaanza kumwagika .......life aisee 🙌