Ndugu kufanya mapenzi

Kim Il Sung

New Member
Sep 4, 2019
2
4
Wakati watu wengi wanajua ya kwamba uhusiano wa kimapenzi kati ya wanafamilia au jamaa wa karibu ni marufuku, sheria zinatofautiana katika nchi mbalimbali, na inategemea aina ya shughuli za ngono na asili ya uhusiano wa kifamilia wa washiriki wanaohusika, na vile vile umri na jinsia ya wahusika.
Wakati ufanyaji mapenzi unaohusisha mtu mzima na mtoto hufikiriwa kuwa aina ya unyanyasaji wa kijinsia wa mtoto katika nchi mbalimbali, ufanyaji mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana inaruhusiwa katika nchi mbalimbali hapa duniani.
Baadhi ya nchi zinazoruhusu ndugu watu wazima waliokubaliana ni:
Argentina
Belgium(tangu 1810)
Brazil
China
France (tangu 1810)
India
Israel (kuanzia miaka 21)
Italy (halali ikiwa haifanyiki hadharani)
Ivory Coast
Japan
Latvia
Lithuania (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
Luxembourg (ruksa tangu 1810)
Holland
Portugal
Russia
Sebia (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
Slovenia (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
South Korea
Spain
Thailand
Turkey
United States (Ni ruksa kwa baadhi ya Majimbo)

Mapenzi ya ndugu (kaka na dada zaidi) mara nyingi hufanyika mara nyingi kuliko watu wengi wanavyofikiria lakini kwa kiasi kikubwa hufanyika kwa kificho.
Ushauri kwa watu wazima wenye kufanya mapenzi kizani,nendeni kwenye nchi zilizo orodheshwa hapo juu na kufanya yenu bila kificho.

Mapenzi kati ya ndugu watu wazima wanaokubaliana

1574706073609.png

Source Legality of incest - Wikipedia

Asanteni
 
Ndugu ni uliozaliwa nao tu either upande wa Mama au Baba. Hao wengine halali yako kuwala
 
Kuhamasisha ujinga wa hatari. Ukiondoa aibu na suala la uungwana ni hatari kuwa na mahusiano na ndoa na ndugu zako kiafya. Waarabu na jamii nyingine za middle east na India zimeathirika na binamu kuoana, watoto wanazaliwa na matatizo makubwa ya kiafya. Someni Genetics. Binadamu wako dunia kwa miaka mingi,kuna vitu wamejifunza ndio maana wanakataza wenzao wasifanye.
 
Wakati watu wengi wanajua ya kwamba uhusiano wa kimapenzi kati ya wanafamilia au jamaa wa karibu ni marufuku, sheria zinatofautiana katika nchi mbalimbali, na inategemea aina ya shughuli za ngono na asili ya uhusiano wa kifamilia wa washiriki wanaohusika, na vile vile umri na jinsia ya wahusika.
Wakati ufanyaji mapenzi unajumuisha mtu mzima na mtoto, kawaida hufikiriwa kuwa aina ya unyanyasaji wa kijinsia wa mtoto katika nchi mbalimbali, ufanyaji mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana inaruhusiwa katika nchi mbalimbali hapa duniani.
Baadhi ya nchi zinazoruhusu ndugu watu wazima waliokubaliana ni:
Argentina
Belgium(tangu 1810)
Brazil
China
France (tangu 1810)
India
Israel (kuanzia miaka 21)
Italy (halali ikiwa haifanyiki hadharani)
Ivory Coast
Japan
Latvia
Lithuania (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
Luxembourg (ruksa tangu 1810)
Holland
Portugal
Russia
Sebia (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
Slovenia (ikiwa wote ni zaidi ya 18)
South Korea
Spain
Thailand
Turkey
United States (Ni ruksa kwa baadhi ya Majimbo)

Mapenzi ya ndugu (kaka na dada zaidi) mara nyingi hufanyika mara nyingi kuliko watu wengi wanavyofikiria lakini kwa kiasi kikubwa hufanyika kwa kificho.
Ushauri kwa watu wazima wenye kufanya mapenzi kizani,nendeni kwenye nchi zilizo orodheshwa hapo juu na kufanya yenu bila kificho.

Mapenzi kati ya ndugu watu wazima wanaokubaliana

View attachment 1272576

Source Legality of incest - Wikipedia

Asanteni

Mkishamaliza ndugu zenu mtahamia wanyama sasa!

Kuna watakao oa ng’ombe,mbuzi,kondoo,etc

Leftists hawana mwisho mamaee zenu
 
Back
Top Bottom