Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

Pale kaenda kama Spika wa Tanzania, Mtanzania.

Habari za ukabila kwenye maisha yake binafsi huko, si kwenye shughuli za kitaifa.
utani ni lazima mkuu. Unafanya watu wasiboreke na hotuba yako. Ukiwa siriazii sana unakua unaboa
 
Huo ni utani wa Mgogo kwa Msukuma! Nadhani hata Mwendazake alikuwa na utani na wagogo!
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"mwanza kunapendeza lakinni kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria. Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Mwamba elewa kwamba spika ametania tu hapo hakuwa serious Kama unavyotaka kutuaminisha, wagogo na wasukuma huwa wanataniana ndio maana hata JPM alipokuwa anasema akifa azikwe kwao alisema hataki kuzikwa Dodoma maana wagogo wataanza kucheza na mafisi yao juu ya kaburi lake..
 
Akitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema

"mwanza kunapendeza lakinni kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".

Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria. Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Ame zarau wanyonge
 
Wagogo na wasukuma ni watani
Hujui hata maana ya utani!!??
utatapika nyongo bure....
Watani zake hao unataka kuleta ujinga wa UFIPA humu.

Tek it easy
Mambo ya utani hayo na atajibiwa siyo muda mrefu.

Itoshe kusema mleta mada ni boya. Natanguliza samahani.

Kuna tone ya sauti kuashiria utani au vinginevyo. Unatakiwa kuyajua hayo.
wagogo wote hawana akili

Simpendi job ila huo ni utani kwa watani zake
Utani wa kawaida sana

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app

Hujui hata maana ya utani!!??
utatapika nyongo bure....
Tek it easy

😂 😂 😂
 
Ni utani tu kama alivyotangulia kusema. Ila ukimsoma between the lines anajaribu kutuma ujumbe serious kwa kutumia utani. Kuna ujinga mwingi unaendelea kwenye sekta isiyo rasmi ya ujenzi wa nyumba za makazi. Ukiachilia aina ya mabati (mi sina shida sana na aina ya mabati, nyumba yangu mwenyewe nimejengea "masufuria" na najenga kajumba kengine nako nitapaulia hayo mabati wanayoita masufuria). Shida niliyo nayo ni hii style ta kunyanyua paa hadi mawinguni. Yaani style hii ya upauaji ni ya kishamba sana na inaharibu kweli kweli shoo ya nyumba na makazi. Hakuna hata sababu zozote za taaluma ya usanifu majengo kuweka paa za dizaini hiyo, ni madaha tu yasiyo na sababu zaidi ya kuongeza gharama.
mkuu upo sahihi huu upauaji wakusimamisha paa umetamalaki miaka hii ya karibuni ukiuliza kwawapauaji yaani mafundi utajibiwa usimamishaji wa paa unasaidia bati lisichoke haraka eti maji yamvua yakitua hayakaisasa unajiuliza kwani huo upauaji wamwanzo yana kaaje hayo maji au ndio mbwembwe zamafundi tu
 
Wewe unatetea nini? Last December nimepita kutoka Arusha mpaka Singida. Kufika Singida, nyumba ziko na mabati ya blue, kijani, kijivu, damu ya mzee nk.
Sasa uchumi wa Singida unauzidi wa Mwanza?
Wasukuma mjiongeze, Mwanza ina rasilimali na vitu vingi kuliko Singida, lkn watu wake wamejitahidi sana. Nyumba zao pale mjini ni shidaa. Utaipenda yani. Hivyo Mwanza hawana sababu ya kujitetea.
mkuu kwani walivyo paua kwama sufuria wanavujiwa pindi mvua zikinyesha
 
Back
Top Bottom