Ndugai awapiga mkwara wabunge waliofungiwa, wakiendelea kukashifu bunge wataongezewa adhabu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Wabunge waliofungiwa wamekuwa wakitoa kauli ambazo sio njema na kama huko walipo wanaendelea kutoa kauli ambazo sio njema watawapa adhabu kali zaidi

 
mhimili uliochimbiwa umekwisha kumuelekeza namna ya kufanya kazi, I wonder kiongoz wa muhimili mmoja anaingilia kazi za kiongozi mwingine usishangae siku raisi akiendesha bunge
 
Awafukuze kabisa, ili wasije kushiriki dhambi zao za kuuza rasilimali zetu..bunge lenyewe ndio hilo la kina lusinde kupitia mikataba ya madini? Raid anauliza tumelogwa na nani? Majibu nadhani anayo sasa
 
Ndio yale aliyosema Lissu kuwa wanaweza kumzuia mbunge asiingie Bungeni kwa muda wake wote uliobaki.
 
Back
Top Bottom