naibu spika mhe job ndugai amemsifia mbunge wa iramba baada ya swali lake na kusema swali zuri na kusema ama kweli iramba mna mbunge mahiri. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.
u have completed my evening!zamani ilikuwa tukimuona mtu mwenye kipara basi ishara ya kujawa busara! Na hii inanipa fundisho kuwa hakuna kipara pasipo busara,hivyo tuna kila sababu ya kutofautisha kati ya kipara,kovu na kunyonyoka nywele.kinachoonekana sasa si vipara halisi bali matatizo ya kiafya ambayo yamepelekea nywele kutoweka au kutokuota kabisa
wao wawili na makinda! wanaweza ishi kwenye nyumba za kusadikika!! HATA MTOTO ALIYEKO KWENYE WOMB NADHANI ANAFIKIRIA ZAIDI YAO KWA UWEREVU MKUBWA!hivi unadhani akili ya ndugai inatofautiana na ya mwigulu?
Chadema wakisikia Mwigulu ni uharo tu.
Mimi namsifu kwa kuwaumbua chadema na ugaidi wao.
.....bila kuwasahau wabunge wa CHADEMA walioenda shule kama Joseph Mbilinyi (sugu) na Godbless Lema.
Chadema wakisikia Mwigulu ni uharo tu.
Mimi namsifu kwa kuwaumbua chadema na ugaidi wao.