Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 177
Nchi, jimbo, kata etc inapokuwa na kiongozi mdhaifu, mbovu, mjinga etc kipimo cha ujinga, udhaifu, ubovu etc ni kwa (wananchi) waliomchagua! Vivyo hivyo kwa Bunge letu la JMT. Kipimo cha udhaifu, ujinga, ubovu ni WABUNGE waliochagua NAIBU/SPIKA wabovu. Hivyo binafsi sishangai.