Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

Sijaona kiongozi empty set kama Spika wa bakora.
Sio lazima kila hoja kuijibu. Ni sawa na kushindana na kichaa. Akichukua nguo zako wakati unaoga mtoni ukimkimbiza wewe ndie kichaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kamanda we mwite kichaa lakini wananchi tunamwita punguwanii..lakini hatuna budi ulimwengu kupata ukweli wa Mambo kwa sababu ukiyakalia kimyaaa mwisho wa siku uongo unageuka kuwa ukweli na inakuwa kazi Sana kuufuta..na kuaminisha watu kwamba ulikuwa uongo .you must know this...hata wewe jomba nyumbani kwako, ukiwa kila siku watu wanasema umetembea na mke wa mtu, unanyamaza tu hujibu ukweli unaoujua, leo, kesho, Keshokutwa n.k watu wataamini. Ni Nani ataweza ku prove them wrong..be careful
 
Hizo pesa alikopa, lakini kuna udanganyifu mwingi ndio sababu atatakiwa kurudisha zile ambazo either alikopa au sio halali. Hawa wabunge wetu bwana wana matatizo makubwa ni sawa na Kiongozi wa Chadema EM ambaye amefanya ruzuku ya chama ni mali yake binafsi.

..spika ameeleza kuna fedha TL alikopa.

..pia kuna fedha kama posho ya jimbo, na mshahara wa dereva ambazo hakutakiwa kulipwa, lakini Spika anakiri kumlipa.

..Spika na ofisi yake wana matatizo na wameonyesha uzembe mkubwa.
 
Maelezo haya yalipaswa kumwondoa spika kwenye kiti chake, binafsi sikubaliani Na ndugai.
So what Kama hukubaliani nae..kwa hiyo ukitaka afiche ukweli asiongee in public..hahahaha jomba tuambie unadhania vipi kwani
 
Lisu aje alipe pesa ya walipakodi sio kujificha ulaya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
DLXnkySW0AAdRrP.jpg
 
..kwanini bunge lilimlipa TL posho ya dereva, na posho ya jimbo, etc wakati inajulikana hayupo nchini?

..hiyo inaonyesha jinsi Spika na ofisi yake wasivyo makini ktk kusimamia matumizi ya fedha za umma.
Wakikujibu hilo watakuwa walipitia jandoni,ila wakikwepa tutakuwa tumethibitisha kuwa ni Layok.
Hawajawahi kuwa wakweli hata siku moja,wanaongea kinyume nyume.Kwa nini wasiseme kuwa Mh.Lissu ndiye anaye anawadai.
 
..spika ameeleza kuna fedha TL alikopa.

..pia kuna fedha kama posho ya jimbo, na mshahara wa dereva ambazo hakutakiwa kulipwa, lakini Spika anakiri kumlipa.

..Spika na ofisi yake wana matatizo na wameonyesha uzembe mkubwa.
Hahaha jomba uzembe uko wapi Kama Lissu mwenyewe alidanganya mahesabu ya malipo..anadai alikuwa na dereva jimboni wakati yupo Ubelgiji hahaha.. badala ya kusema Lissuu aje ashtakiwe kwa kosa la wizi wa kuaminiwa na utakatishaji fedha we unasema Nini..kwa matatizo yooote haya walahi huyo jamaa hatarudi TZ..ni kibaka wa kutupwa nadhani Kama haya madudu ni yake..Basi sisemi mengi
 
Hizo pesa alikopa, lakini kuna udanganyifu mwingi ndio sababu atatakiwa kurudisha zile ambazo either alikopa au sio halali. Hawa wabunge wetu bwana wana matatizo makubwa ni sawa na Kiongozi wa Chadema EM ambaye amefanya ruzuku ya chama ni mali yake binafsi.

Ndugai anadhani akisema Tundu Lissu anadaiwa basi tutapoteza imani naye, kwa taarifa yake akisema anadaiwa tunaona ni kama anampaka manukato. Bora angetuambua kwanini Kange Lugola na kundi lake hawajafikishwa mahakamani, kwenye lile igizo la mkataba wa trilioni moja.
 
Hahaha jomba uzembe uko wapi Kama Lissu mwenyewe alidanganya mahesabu ya malipo..anadai alikuwa na dereva jimboni wakati yupo Ubelgiji hahaha.. badala ya kusema Lissuu aje ashtakiwe kwa kosa la wizi wa kuaminiwa na utakatishaji fedha we unasema Nini..kwa matatizo yooote haya walahi huyo jamaa hatarudi TZ..ni kibaka wa kutupwa nadhani Kama haya madudu ni yake..Basi sisemi mengi

Unahangaika na Lissu na hiyo hela ya mboga na yuko zake ulaya, kipi kimewashinda kwa Kange Lugola aliye hapa hapa nchini kwa mkataba wa 1t+?
 
Sawa kamanda we mwite kichaa lakini wananchi tunamwita punguwanii..lakini hatuna budi ulimwengu kupata ukweli wa Mambo kwa sababu ukiyakalia kimyaaa mwisho wa siku uongo unageuka kuwa ukweli na inakuwa kazi Sana kuufuta..na kuaminisha watu kwamba ulikuwa uongo .you must know this...hata wewe jomba nyumbani kwako, ukiwa kila siku watu wanasema umetembea na mke wa mtu, unanyamaza tu hujibu ukweli unaoujua, leo, kesho, Keshokutwa n.k watu wataamini. Ni Nani ataweza ku prove them wrong..be careful
Sasa Jombaa unasemaje kichaa wanguu???????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mashoga flani wanasema wanamtaka dreva wa Lisu ili uchunguzi ufanyike, huyu dreva ni yupi kama Sabuufa hamtambui???
Hahaha jomba uzembe uko wapi Kama Lissu mwenyewe alidanganya mahesabu ya malipo..anadai alikuwa na dereva jimboni wakati yupo Ubelgiji hahaha.. badala ya kusema Lissuu aje ashtakiwe kwa kosa la wizi wa kuaminiwa na utakatishaji fedha we unasema Nini..kwa matatizo yooote haya walahi huyo jamaa hatarudi TZ..ni kibaka wa kutupwa nadhani Kama haya madudu ni yake..Basi sisemi mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha jomba uzembe uko wapi Kama Lissu mwenyewe alidanganya mahesabu ya malipo..anadai alikuwa na dereva jimboni wakati yupo Ubelgiji hahaha.. badala ya kusema Lissuu aje ashtakiwe kwa kosa la wizi wa kuaminiwa na utakatishaji fedha we unasema Nini..kwa matatizo yooote haya walahi huyo jamaa hatarudi TZ..ni kibaka wa kutupwa nadhani Kama haya madudu ni yake..Basi sisemi mengi
Tundu Lissu anadai bunge fedha nyingi sana. Kisheria alitakiwa kulipiwa matibabu na matunzo. Ndiyo maana wanapiga danadana kupanga tarehe ya kusikiliza rufaa yake
 
Zipo tetesi kwamba huyu anayejiita Wacha1 ndiye mtembeza bakora mwenyewe. Tetezi hizo zinaendelea kudai kwamba wakati mtembeza bakora anatumwa India na kutumbua mabilioni ya walipa kodi kwa matibabu ya ugonjwa usiojulikana, Wacha1 alipotea kabisa mtandaoni na hata humu JF alikuwa haonekani.

Ikitokea kuwa tetesi hizi si za kweli, nauomba radhi uongozi wa JF na wote ambao tetesi hii imewafedhehesha. Mimi ni mjumbe tu na kwa kawaida mjumbe hauwawi. Hata hivyo kauli za Wacha1 na lugha zake za kibabe zote zinaashiria kwamba yawezekana kuna uhusiano fulani kati yake na huyo mtembeza bakora.
 
Hivyo bado nitawachapa bakora hadi mkome na majungu yenu yasiyo na mbele wala nyuma. Khee khee khee khee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekalia umbeya tu kazi hamna. Mtanyooka tu!
 
Back
Top Bottom