Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

Sijaona kiongozi empty set kama Spika wa bakora.
Sio lazima kila hoja kuijibu. Ni sawa na kushindana na kichaa. Akichukua nguo zako wakati unaoga mtoni ukimkimbiza wewe ndie kichaa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugai ni spika hovyooo kabisa hajawahi kutokea katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Napata KICHEFUCHEFU kutaja jina lake. Uwezo wake kiongozi ni mdogo mno.
 
Hivyo bado nitawachapa bakora hadi mkome na majungu yenu yasiyo na mbele wala nyuma. Khee khee khee khee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekalia umbeya tu kazi hamna. Mtanyooka tu!
Kumbe yawezekana ni kweli! Mbona huu ni ushahidi tosha? Haya magonjwa yasiyojulikana ya tabu kweli kweli kwani yanaharibu bongo. Naona itabidi mtu atumwe tena India...safari hii sijui atatafuna mabilioni mangapi!
 
Kwa maelezo ya spika, Lissu anawaadaa wafuasi na viongozi wa chama ili avute pesa sehemu zote
 
jinai haifutiki,hata kama 2030 nitawashtaki tu
Kwa kweli watu wa aina hii wanatia hasira.

Hata mtu uwe na akili ya kusahau na roho ya kusamehe, watu wa aina ya Ndugai hawastahili kusamehewa na binaadamu yeyote.

Ni Mungu tu ndiye mwenye uwezo wa kuwasamehe watu kama hawa.

Huyu na baadhi ya genge zima italazimu wasimame mbele ya sheria na haki itendeke juu yao, hata kama haki hiyo itacheleweshwa.
 
Spika wa Bunge la JMT mh Jobu Ndugai leo jioni hii akiahirisha Bunge baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi ya waziri mkuu amemjibu mh Lissu.

Ameanza kwa kutaja kuwa ameona malalamiko ya LISSU mtandaoni akithibisha kuwa bado analidai Bunge.

Ndugai akiwa kashika nyaraka nakuthibitisha kuwa mh Lissu hadai hata senti moja na kuwa posho mishahara yake yote amelipwa.

Pamoja na hayo pia ameliambia Bunge kuwa zaidi anadaiwa mil 70. Zaidi ya yote kaenda mbali zaidi kuna posho kama ya kutembelea jimbo na mshahara wa dereva kwa kipindi akiwa hayupo nchini nazo kalipwa zaidi ya mil 300.

Ameahidi kutoa data zaidi ikiwa Lissu ataendelea kuongea ongea.

Chanzi: TBC

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai ni mgojwa wa akili asiwapotezee mda kujadili utahila wake.
 
Hizo pesa alikopa, lakini kuna udanganyifu mwingi ndio sababu atatakiwa kurudisha zile ambazo either alikopa au sio halali. Hawa wabunge wetu bwana wana matatizo makubwa ni sawa na Kiongozi wa Chadema EM ambaye amefanya ruzuku ya chama ni mali yake binafsi.
Kwa Akili ya tu ya mtoto wa chekechea unafikiri ruzuku ingeliwa huyo aliyekula si angeozea jela? Kama Biashara zao halali zinaharibiwa kwa hili wangeteswa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka risasi zenu zilimlenga afe....lakini bado yupo hai mwana wa Jehova. Ni aibu na ushetani wa juu sana kumtakia mwenzio mauti. Mwisho kama upo apa pia utaenda kunako takiwa. MUNGU APEWI RUSHWA

Mungu sio wewe alikasirishwa na kitendo cha daudi juu ya mpiganaji wake aliyetangulizwa vitani ili afe na daudi kulala na mke wake na kuzaa nae lakini akamsamehe na kumpa nafasi nyingine, sasa wewe ni mungu yupi unamaanisha huyu wa ibrahimu anayesamehe wanaotubu au unaye wa kwako?
 
Back
Top Bottom