tatizo la viongozi wetu walioko madarakani wanadhani wao wana akili sana kuliko wanaowaongoza,hivyo wakikosolewa wanakimbilia kuwalaumu wapinzaniKatika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.
My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.
Uyo jamaa wamkatae kabisa mana huwa anajiona kama mungu mtu inabidi 2015 asirudi mjengoni ndio afaham kama cheo ni dhamana
look at your ID ' MAEMBE MABICHI ' i think is real your id represent your brain.
Hawa wabunge wa chadema hakuna hata mmoja aliyefanikiwa jimboni kwake wataweza ya wengine thubutu.Afu kichawi sana kile kijamaa, huwa sivipendi vijicho vyake vile...
Vyovyote usemavyo jamaa kawashika pabaya mtaiva tu mwaka huu.Nijuavyo mimi Job Ndugai siyo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, bali ni mshehereshaji wa Bunge.
Job kazi anayooooo.
Vyovyote usemavyo jamaa kawashika pabaya mtaiva tu mwaka huu.
Vyovyote usemavyo jamaa kawashika pabaya mtaiva tu mwaka huu.
Hawa wabunge wa chadema hakuna hata mmoja aliyefanikiwa jimboni kwake wataweza ya wengine thubutu.
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.
My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.