Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Hivi si juzi tu wametoka kupitisha hoja ya kukataza "uchochezi" (ukiwemo wa kidini)? Sasa haya maneno ya Ndugai yamelenga nini?.... au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."...
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.
"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."
Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

Toka lini Chenge akawa na uchungu na nchi hii?
Hivi si juzi tu wametoka kupitisha hoja ya kukataza "uchochezi" (ukiwemo wa kidini)? Sasa haya maneno ya Ndugai yamelenga nini?
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.
"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."
Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?
I think thr z a deal btn Ndugai and that dude.With all the MPs Ndugai amemuona Chenge ndiyo MP wa kusifiwa, This Dude (Chenge) was supposed to be behind bars kama zingekuwa nchi za wenzetu walio makini au Kule China angekuwa ni chakula ya risasi.
Please Ndugai give us a break huo ushenzi ndiyo unatufanya tuichukie CCM na kukiona Chama cha Mafisadi.
Konyagi zitammaliza Ndugai...